Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Chadema hawana mgombea urais watamuunga mkono Zitto!Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.
Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.
Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.
Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.
CHADEM twende kazini.
Mi nimekuelewa!Hii post imemuongelea Mwenyekiti wa tawala ila wachache watakuelewa
Nimekuaoma mkuu, umemlenga mtu fulani hivi kwa kutumia mgongo wa Lissu.Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.
Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.
Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.
Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.
CHADEM twende kazini.
Nimekuaoma mkuu, umemlenga mtu fulani hivi kwa kutumia mgongo wa Lissu.
Tetesi huwa zinafuatiliwa.Mkuu kwani tetesi ni tarifa?
Sawa mkuuTetesi huwa zinafuatiliwa.
Wahenga walisema .... panapofuka moshi....!
Malizia.
Chadema wangemuunga mkono Zitto ndiye mwenye sifa si Lissu. Lissu ni mwanasheria wa kihistoria hapa Tanzania lakini si presidential material.
Hapo ni sawa na kuruka mkojo ukakanyaga 'kimba'Chadema wangemuunga mkono Zitto ndiye mwenye sifa si Lissu. Lissu ni mwanasheria wa kihistoria hapa Tanzania lakini si presidential material.
Nadhani ndiyo advantage kwenu mpite kirahisi!!?? Au unataka mgombea wa CDM awe na sifa kuliko mgombea wenu,?Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.