Uchaguzi 2020 CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wenu mtapoteza muda wenu

Siku akisema anatua Mwanza mtakuwa na mkutanon either wa rais kabisa, akibadilisha mwelekeo mtasema taarifa za kiintelenjisia. Huyu jamaa mpaka atue mmeweweseka mno
 
Kaka ukiona Ngedere mjini usifikiri kuwa kapotea
 
Una ujinga waasili
 
Binafsi nimependa tu kuona this time wameamua kutumia wachezaji wao wa ndani.
 
Baada ya Magufuli kuweza kuwa Rais kwa ushawishi wa push up hakuna mtanzania yeyote wa elimu yoyote atakayeshindwa
 
Kwani 2020 Chadema hawamsimamishi wa kutokea CCM? Maana Membe si yupo?
 
Ccm wameweweseka sana waliposikia kwamba lissu anagombea urais, wanahahaa kutumia mahakama lissu akamatwe.
 
Kwa wanasiasa waliopo Zitto is the best,,ingawa mara chache ana jaziba lakini ni mtu makini,anajua kujieleza kwa lugha rahisi na kueleweka.Ni aina ya mwanasiasa mwenye maarifa ya kutosha.
 
Well said lakini hebu angalia mbili za mwanzo.Je kwa sasa (awamu hii) hoja hizo mbili zinazingatiwa?Kinachoweza kumbeba ni boldness na ability ya kusoma na kuelewa mambo.Huyu anaweza kuwa game changer wakati wa kampeni kwa ujasiri wake hata kama hatashinda.
 
Kwa wanasiasa waliopo Zitto is the best,,ingawa mara chache ana jaziba lakini ni mtu makini,anajua kujieleza kwa lugha rahisi na kueleweka.Ni aina ya mwanasiasa mwenye maarifa ya kutosha.
Kwangu lissu nampa 90%, zitto nampa 80%
 
Kwa wanasiasa waliopo Zitto is the best,,ingawa mara chache ana jaziba lakini ni mtu makini,anajua kujieleza kwa lugha rahisi na kueleweka.Ni aina ya mwanasiasa mwenye maarifa ya kutosha.
My favourite kwa upande wa opposition.Huyu anatakiwa a reserve energy zake kwa 2025 wakati CCM wana introduce someone new!!Uchaguzi unaokuja October by hooks and crooks ni JPM ingawa asivyopenda challenge ataumia sana wakati wa kampeni.
 
Unamsema Magufuli a.k.a. Kivuruge au Lissu? Naona sifa zote zinaangukia kwa Magufuli.
 
Mbona mtoa mada kama anamuongelea JIWE but indirect way hivi hehe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…