Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Katiba ya America (the us) ina miaka zaidi ya 230.Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee. India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest democracy." Demokrasia ni anasa ya watu walioendelea na si wanaotafuta maendeleo. Na hata hao walioendelea utaona kuwa demokrasia inarudisha nyuma maendeleo yao polepole.
Kujiita chama cha "demokrasia na maendeleo," hakuingii akilini kwa sababu mambo hayo hayakai pamoja. CDM wabadili jina.
Umekuwa na nyuzi nyingi zinazofuatana kila baada ya dakika tano kwa wastani.Hilo linaonesha umejawa na mambo mengi mchanganyiko kichwani.Too much is harmful!Unakaribia kuvuka mpaka na utajikuta umeingia kambi ya fula pigmies!Utamezwa ungali hai.Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee. India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest democracy." Demokrasia ni anasa ya watu walioendelea na si wanaotafuta maendeleo. Na hata hao walioendelea utaona kuwa demokrasia inarudisha nyuma maendeleo yao polepole.
Kujiita chama cha "demokrasia na maendeleo," hakuingii akilini kwa sababu mambo hayo hayakai pamoja. CDM wabadili jina.
Mfano mmoja, Japan imepata maendeleo makubwa miaka kadhaa baada ya vita ya pili ya Dunia (1945). Japan ni nchi ya kidemokrasia Kwa zaidi ya miaka 70.Pinga kwa hoja sio unaweka ma X tu kumaliza rangi
Safi sana lakink unajua nini hasa kilichopelekea maendeleo ya Japan maana hata kabla ya hiyo Democracy japan ilikuwa ni taifa kubwaMfano mmoja, Japan imepata maendeleo makubwa miaka kadhaa baada ya vita ya pili ya Dunia (1945). Japan ni nchi ya kidemokrasia Kwa zaidi ya miaka 70.
Demokrasia walioyoina ni mwenyekiiti kuwa mfalmeDuniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee. India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest democracy." Demokrasia ni anasa ya watu walioendelea na si wanaotafuta maendeleo. Na hata hao walioendelea utaona kuwa demokrasia inarudisha nyuma maendeleo yao polepole.
Kujiita chama cha "demokrasia na maendeleo," hakuingii akilini kwa sababu mambo hayo hayakai pamoja. CDM wabadili jina.
Toka wameunda hiyo katiba. Wameua na kupora wahindi ardhi yao yote. Karibu miaka 100 sehemu ya raia wake walikuwa watumwa. Na hadi miaka ya 60 mtu mweusi wa Marekani hakuwa na haki sawa na Mzungu. Katika hiyo miaka 230, karibu miaka 170 Marekani ilikuwa kama South Africa ya makaburu.Katiba ya America (the us) ina miaka zaidi ya 230.
Karibu mkuu.Umekuwa na nyuzi nyingi zinazofuatana kila baada ya dakika tano kwa wastani.Hilo linaonesha umejawa na mambo mengi mchanganyiko kichwani.Too much is harmful!Unakaribia kuvuka mpaka na utajikuta umeingia kambi ya fula pigmies!Utamezwa ungali hai.
Japana ilikuwa mbali sana kabla hata ya WWII. Na ndiyo maana iliweza kupigana vita ile na mataifa makubwa. Hapo ilikuwa chini ya maliki na si ya kidemokrasia.Mfano mmoja, Japan imepata maendeleo makubwa miaka kadhaa baada ya vita ya pili ya Dunia (1945). Japan ni nchi ya kidemokrasia Kwa zaidi ya miaka 70.
Acha kupotosha tafiti nyingi tu zimeshafanyika zinaonyesha Nchi zenye democracy index kubwa pia Zina Human Development Index kubwa same to GDP growth rate. Yaani kiufupi ukichukua nchi zote ambazo demokrasia ipo chini chances are zitakua chini kiuchumi.Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee. India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest democracy." Demokrasia ni anasa ya watu walioendelea na si wanaotafuta maendeleo. Na hata hao walioendelea utaona kuwa demokrasia inarudisha nyuma maendeleo yao polepole.
Kujiita chama cha "demokrasia na maendeleo," hakuingii akilini kwa sababu mambo hayo hayakai pamoja. CDM wabadili jina.
Correlation siyo causation. Ni kiini macho tu.Acha kupotosha tafiti nyingi tu zimeshafanyika zinaonyesha Nchi zenye democracy index kubwa pia Zina Human Development Index kubwa same to GDP growth rate. Yaani kiufupi ukichukua nchi zote ambazo demokrasia ipo chini chances are zitakua chini kiuchumi.
Ni ajabu sana mnajifichia kwa china na Saudia ila mnasahau nchi ambazo hazina demokrasia zilivyofeli kiuchumi kama Cuba na Burundi
Hapana wanatumia regression (Inapima causal-effect relationship) ya panel data na time series kabisa kwa miaka kuanzia 90s ambapo democracy ilisambaa zaidi baada ya anguko la Soviet. So indeed Kuna evidence kwamba demokrasia inavyopanda yaani uhuru wa habari, bunge huru, utawala wa kisheria, uwazi wa serikali, uchaguzi huru na haki n.k inapandisha uchumi maana viongozi wazembe huondolewa madarakani kwa kura, bunge lnaweza zuia miswada mibovu, uwajibikaji kuongezeka n.k.Correlation siyo causation. Ni kiini macho tu.
Lissu alikuwa anaongea na press kila siku,mpaka alipochuja na kukinbia upya!Umekuwa na nyuzi nyingi zinazofuatana kila baada ya dakika tano kwa wastani.Hilo linaonesha umejawa na mambo mengi mchanganyiko kichwani.Too much is harmful!Unakaribia kuvuka mpaka na utajikuta umeingia kambi ya fula pigmies!Utamezwa ungali hai.
Toka pepo mchafu! TOKAAA!Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee. India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest democracy." Demokrasia ni anasa ya watu walioendelea na si wanaotafuta maendeleo. Na hata hao walioendelea utaona kuwa demokrasia inarudisha nyuma maendeleo yao polepole.
Kujiita chama cha "demokrasia na maendeleo," hakuingii akilini kwa sababu mambo hayo hayakai pamoja. CDM wabadili jina.
Namuhurumia aandikaye kwa lazima ili atambulike.Za uso kapige jiwe!Lissu alikuwa anaongea na press kila siku,mpaka alipochuja na kukinbia upya!
Wacheni mpewe za uso huku huku!
Nakuamuru,choka kuandika!Karibu mkuu.
Kwani nini maana ya demokrasia mkuu ?Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee. India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest democracy." Demokrasia ni anasa ya watu walioendelea na si wanaotafuta maendeleo. Na hata hao walioendelea utaona kuwa demokrasia inarudisha nyuma maendeleo yao polepole.
Kujiita chama cha "demokrasia na maendeleo," hakuingii akilini kwa sababu mambo hayo hayakai pamoja. CDM wabadili jina.
👍Safi sana lakink unajua nini hasa kilichopelekea maendeleo ya Japan maana hata kabla ya hiyo Democracy japan ilikuwa ni taifa kubwa
Ilitawala korea, china si unakumbuka?
Ujue kuwa maendeleo hayana kikomo. Sijasema Japan ilikuwa nyuma km Tz. Bali daada ya WW2 imepata maendeleo makubwa, na pia ikiwa na demokrasia ya hali ya juu.Japana ilikuwa mbali sana kabla hata ya WWII. Na ndiyo maana iliweza kupigana vita ile na mataifa makubwa. Hapo ilikuwa chini ya maliki na si ya kidemokrasia.
Safi sana👍
Maendeleo yanaletwa na factors nyingi. Hapa tunajadili component ya demokrasia.
Nilichokuwa najaribu kusema ni kuwaUjue kuwa maendeleo hayana kikomo. Sijasema Japan ilikuwa nyuma km Tz. Bali daada ya WW2 imepata maendeleo makubwa, na pia ikiwa na demokrasia ya hali ya juu.