Ujerumani imeanza kuendelea kipindi ikiwa chini ya utawala wa Prussia, na ndio waliofanikisha unification ya ujerumani
Prussia na kutoa amri kuwa hilo taifa hilo litakuwa la kiprotestant aina ya
Evangelische kitu kilichosababisha walutheran wengine kukimbia na kwenda usa.
Serikali ya kanada ilifanya ukandamizaji kwa kukusanya watoto wa indiginious communities na kuwapeleka kanisani kwa lazima ambapo watoto karibu 3000 hadi 6000 walifariki,
Pamoja na revolution, bado wafanyakazi wa ufaransa walikuwa na nyakati kwa kuwekewa masharti mengi kiudhalilishaji, mfano mfanyakazi alikuwa hawezi kubadilisha kazi ruhusa ya bosi wake
academic.oup.com
Nichajoribu kusema ni kuwa dimekrasia sio factor ya maendeleo bali mipango mizuri yenye utekerezaji sahihi na yenye consistency tofauti na hapo hakuna maendeleo uwe ni dikteta, demokrasia au neutral na vyovyote vile.