South Korea imeanza kupata maendeleo maendeleo ya kiuchumi kipindi cha Raisi Park Chung Hee, ambaye aliingia madarakani baada ya kumpindua raisi aliyechagulia kidemokrasia.
Park alibadilisha katiba na kumfanya yeye kuwa raisi WA Maisha.
Park alikuwa anakamata wafanyabiashara na kuwaweka ndani kisha kuwalazimisha kukubali na matakwa ya serikali kwenye nini cha kufanya.
Mwanzilishi WA Samsung alikimbia nchi Ila baadae alirudi na kukubaliana kile serikali itakochokuwa inaamrisha.
Park alikuwa anawaangamiza wapinzani wake, moja ya mpinzani wake ambaye alitaka kumuua ni raisi WA Korea 1998 Kim Dae Jung, ambaye alimpa upinzani mkubwa kwenye uchaguzi 1971.
Kim alikimbilia Japan na Park akatuma majasusi kumkamata wakati wanakiribia kumuua Kwa kumdumbukiza kwenye maji wanajeshi WA Japan walitokea.
Raisi alipiga marufuku uwepo WA vyama vya wafanyakazi na maandamano.
Korea kusini kipindi hiko ilipiga marufuku wanaume kuwa na nywele ndefu na wanawake kuvaa mini skirt, ulikuwa ukikutwa na "secret polices" basi unanyolewa mbele ya umma.
Hapa wakorea kusini waliokamatwa na polisi wakikatwa nywele na polisi mtaani
Mwisho WA siku park Chung Hee aliuwawa Kwa kupigwa risasi na mlinzi wake WA karibu,
Pamoja na udekteta huo, hiki ni kipinde ambacho Korea kusini ilikuwa inashuhudia mapinfuzi ya viwanda Chini ya maelezo ya serikali kupitia, ndio kipindi ambacho Korea kusini inaipita Korea kaskazini huku makampuni makubwa kama Hyundai, Samsung, LG, POSCO, KIA nk yakaibuka.
Kiuhalisia ni kuwa Korea kusini iliongozwa na madiktekta tangu 1961 mpaka miaka 1994 ambapo uchaguzi WA Kwanza kimeokrasia zaidi ulifanyika, dikteta aliefuata mwingine akaua watu karibu 600 kwenye maandamano yanayojulikana kama
Gwangju Democratization Struggle
en.m.wikipedia.org
Lakini pia kipindi hiko Korea ilikuwa bado inachanja mbuga kiuchumi
kifupi Korea kusini huwezi kuiweka kama nchi iliyoendelea Kwa Demokrasia kabisa,