Ngwanashigi Gagaga
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 434
- 302
Mbazi ikikosa maua husingizia jua!Kwa kweli kwa masanduku na mabegi ya kura zilizopigwa tayari niliyoona, kutokuwepo kwa mawakala vituoni, NEC, Msajili, TISS, Polisi, TCRA, Mamlaka ya Anga, makampuni ya simu, TISS, TCRA, Msajili wa Vyama, vyombo vya habari, makampuni ya simu, CCM kulala na masanduku ya kura baada ya kura za 27 Okt 2020 kule Zanzibar, nk. hata wakipata mbunge/diwani mmoja nitawashangaa CCM (siyo CHADEMA). Itakuwa ni muujiza wa Mungu.
Viongozi wanapambana lakini wameachiwa wachache pia wananchi wanaona Kama sawa tu hawaoni umuhimu wa Upinzani ngoja turudi kwenye mfumo wa chama kimoja labda wanyonge akili zitatukaa sawaWapinzani wa sasa wamejitoa mhanga kupambana n mkoloni mweusi ccm n madhira wanayopata ni makubwa sana wakiamua na wao waungane kula keki ya taifa nani ataonesha maovu ktk jamii? Inauma sana sana ila kama kwl mungu yupo atalipia 2
Uchaguzi sio wa haki sheikhDhuluma iko wapi bwashee!
Ngoja tuone wabaki wao waibadilishe Tz kuwa ulaya bhnViongozi wanapambana lakini wameachiwa wachache pia wananchi wanaona Kama sawa tu hawaoni umuhimu wa Upinzani ngoja turudi kwenye mfumo wa chama kimoja labda wanyonge akili zitatukaa sawa
Uzuri wake msoto wa mtaani hauchagui CCM wote tunakula msotoMubaki tu CCM tupu Bungeni mbona napo shega tu ili mradi hamtupi hela za kula kila mtu anatafuta kwa jasho lake
Wapi hapa duniani kuna uchaguzi wa haki?Uchaguzi sio wa haki sheikh
Na Mbowe tenaWapi hapa duniani kuna uchaguzi wa haki?
Mbowe kafanyaje?Na Mbowe tena
"huwez kuiona haki mpaka pale utakapopata uvunjifu wa haki.... " Kant....Wapi hapa duniani kuna uchaguzi wa haki?
Godbless Lema huwa analalamika Sana Mtandaoni ila Halima chuma yule anaingia front line mwenyeweTena ukiona mwanamke wa upinzani kashinda jimbo mpe shkamoo kubwa!
Halima mdee ni mwanamke na nusu ht akishindwa anapambana ile ile c km kina heche kutwa kulalamika twitter
Ametetea jimbo kwa mkono wa chumaMbowe kafanyaje?
Mbona amefeli na CCM imekomboa jimbo!Ametetea jimbo kwa mkono wa chuma
SAWAMbona amefeli na CCM imekomboa jimbo!
Haya!SAWA
Kama hili ndio lengo lenu basi huu utakuwa uchafuzi na si uchaguzi.No watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi!.
P
Matokeo ya urais hayoKuna nini?
Mbazi ikikosa maua husingizia jua!
Its True, ni kweli kauli huumba, na yote usemayo kunihusu mimi na hali yangu ni kweli, ila japo ni kweli kauli huumba, kauli nyingine ni za binadamu tuu, Mungu yupo.MASKIN PASCAL MAISHA YAMEKUPIGA,, WATANZANIA WAMEKUKATAA, WANA-KAWE WAMEKUDHARAU,, NI DHIHAKA KUPATA KURA MOJA(1), SI KIFICHO TENA INAJULIKANA UMEFILISIKA HUNA CHOCHOTE TENA huna kitega uchumi chochote tena zaidi ya kuhangaika huku JF,, pambana kwa nguvu zote hapa JF kumlamba miguu ili akupe chochote mzee Magufuli mbaya zaidi Magufuli hakupendi alishakuita wewe ni njaa nakweli maneno yanaumba sasa wewe ni njaa tupu..