Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

Haaahaaaa umeshajua kuwa wa moja hapati mbili basi unadhani wote. Wajumbe walikunyima kura ukatoka na kura 1 ya kwako. Hakikika kama mwandishi nguli utakuwa na historia ya kipekee sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Waliona IQ yake ni ndogo😂😂😂😂😂
 
Polisi, TISS, JWTZ, NEC; pamoja na watanzania wajingawajinga wote are for ccm election. Why not ccm win 100%
 
Mkuu naona ilo ngese la Lumumba limeusoma uzi likitokwa na machozi kimya kimya likidhani likiwa kwenye ufalme wa magu ndio itakuwa familia yake nzima.
 
Upinzani inabidi wasipate hata mbunge mmoja,Rais ashinde zaidi ya Asilimia 99 kusiwe na ruzuku kabisa ya Upinzani vyama vyote vife,Tanzania ibaki CCM pekee yake
Hilo neno.
Nakumbuka kabla Hosni hajapinduliwa kule Egypt, kulikuwa na uchaguzi ambao yeye na chama chake walipata 92% of the votes. Few months later akapinduliwa.
ccm mnajitekenya na kucheka wenyewe.
The game is not over yet.
 
Kila kona ya nchi mawakala wa CHADEMA wamezuiliwa kuingia vituoni alafu wewe unasema hawajaweka mawakala! Yaani CHADEMA wameweza kuweka wagombea na kampeni wamefanya tena ya kufaana alafu washindwe kuweka mawakala! To hell with you.
Wakala wetu amekufa Usiku Huu baada ya kupigwa na kujeruhiwa vibaya
 
Ikiwa ubunge tia maji, tia maji ndio itakuwa huyo Rais wenu wa kwenye ndoto zenu!

Kuna watu wanachukulia mambo kirahisi rahisi sana.

Hatuwezi kuuza Nchi hata siku moja
 
Ungelisema kuwa uchaguzi uliojaa uhuni wa kukataa mawakala ningekukubali. Unakaataaje mawakala wa chama kisha unajidai kushinda uchaguzi
 
Mayala P no mshenzi tu..mtu anajua ethics za uandishi lakini bado anaenda kulamba watu nyayo ili apate yeuzi
 
Mayala bila uteuzi nasikia mke kamkimbia madeni anadaiwa na kili jirani yake Kitaaa ndio maana akagombea ubunge ili ajinisuruk
 
Heri yako umekubali, lakini kwani hamkulinda kura


Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
No watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi!.
P
Hakuna uchaguzi kuna maigizo ya uchaguzi kwani CCM imeiba kura zote wamefanya uchakachuaji wa ajabu, hakuna Mtanzania mwenye Akili kawapigia kura CCM bali kuna wizi mkubwa wa kura kwa msaada wa wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm, hakukuwa na haja ya kuwa na uchaguzi wakati Tumeccm NECCCM wanatembea na matokeo mifukoni mwao,
 
No watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi!.
P
Huu siyo uchaguzi mkuu bali ni kituko fulani hivi ni kupoteza pesa za walipa kodi bure, magufuli aliwaagiza wakurugenziccm kuwa hawezi kuwapa Gari na mshahara wakurugenziccm kisha asikie kamtangaza mpinzani, wakurugenziccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria bali kwa mjibu wa zidumu zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Ungelisema kuwa uchaguzi uliojaa uhuni wa kukataa mawakala ningekukubali. Unakaataaje mawakala wa chama kisha unajidai kushinda uchaguzi
CCM hawajashinda uchaguzi bali wamebaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…