Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.

Kwa mtu anaye jua maana ya UPINZANI wala hawezi kushangaa maana kutoka nje ya UKUMBI WA BUNGE au "WALKOUT" ni takwa la Kikatiba.
WALKOUT inatumika katika Mabunge karibu yote duniani kama kielelezo ya KUPINGA UTAWALA ULIO MADARAKANI kama ISHARA YA KUPINGA UONEVU,MANYANYASO, UKANDAMIZAJI na UMINYWAJI WA DEMOKRASIA ..!
CHADEMA kama Chama Kikuu Cha Upinzani Bungeni kimepitia MADHILA mengi sana tokea 2016 todate! Hivo wana Haki ya kutoka nje unless JPM atoe tamko rasmi la kuwaomba msamaha Wapinzani.Vinginevo....😂
 
Hongera msemaji wa CHADEMA

Luckman1
 
Acha watoke tu.
Sihitaji kuona wabunge wasiojielewa wakilinajisi bunge tetu tukufu tena mbele ya Mh Rais JPM Mwana wa Afrika.
Ni watoto tu wanaweza kufikiria kumvunjia heshima baba yao aliyewaketisha kikao cha familia na wao kuondoka kwenda kwa jirani yao.
Stupidity is worse than drunkenness, the difference is that the former goes away after sometime and the later stays permanently.
Waache ujinga wameshakuwa wakubwa sasa.
Upinzani una miaka 28 hadi sasa wanaendekeza tabia za kuzira? Acheni utoto mmekua nyie taifa linawategemea ku standard mambo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote yanawezekana ikiwa Mastermind wao Ni yule K Ester Bulaya
 
Kwa jinsi unavyoeleza hisia zako nimegundua haya:
a.Hukupata uelewa wa namna mbali mbali za kupinga/kueleza hisia zako juu ya jambo usiloliafiki(protest).
b.Huna uelewa na utambuzi wa haki za raia,wawakilishi na mipaka ya mamlaka mbali mbali.
c.Ushabiki umekupofusha.
d.Una vinasaba vya udikteta.
e.Ni mhafidhina.
 
Waondoke tu! Mbona waliondoka wakati Bunge linaanza na hakuna chochote kilichotokea?
 

Njia pekee ya Kuuokoa Upinzani nchini Tanzania ni kwa Wao Kuungana na kuwa na Agenda ya Msingi, ila kwa walivyo sasa CCM itatawala Milele.
 
Ibara gani au umelishwa maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…