Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.
Bongo hakuna upinzania ni Koti tuu lile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ni jia moja ya democrasia . Kugomea , kutoka bungeni nk
Wakitoka ni jambo jema sana wamsusie tu
Spika ame wazuia mara kadha hotuba za wapinzani zisisomwe.
Hivo nao hawana haja kumsikiliza


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hio ni jia moja ya democrasia . Kugomea , kutoka bungeni nk
Wakitoka ni jambo jema sana wamsusie tu
Spika ame wazuia mara kadha hotuba za wapinzani zisisomwe.
Hivo nao hawana haja kumsikiliza


Sent from my iPad using JamiiForums
Hapana kususasusa ni tabia ya kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mbowe anainguaje wakati hajarudisha pesa ya wakati amejilock?
 
Nchi yeyote ile yenye mfumo wa vyama vingi ni lazima iwe na Tume huru vinginevyo ni ulaghai wa hali ya juu kudai ni Nchi yenye mfumo wa vyama vingi wakati wajumbe wa tume wanaoteuliwa na mtu wa chama kilichokuwa madarakani na kisha kuwapa vitisho wajumbe husika.

Mkishinda mnasema tume huru mkishindwa mnasema sio huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano nchi gani labda kama haina wachumia tumbo kama afrika ,amerika kusini na Asia huko wamejaa vilaza kama kina mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unafikiri kitoto kwa mambo ya kikubwa. Nenda kakojoe ulale.
 
Kipi kipya? Si walifanya slivyohutubia bunge kwa mara ya kwanza?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…