Tetesi: CHADEMA wamepanga kususia hotuba ya Rais ya kuvunja bunge

Status
Not open for further replies.
Unaumia nini? Wache wasuse. Ni haki yao kikatiba. Kususa kwao kitaiumiza nini CCM? Kama taswira ya nchi mbele ya malimwengu ni nzuri hakiharibiki kitu; kama ni mbaya itabaki hivyo ilivyo.
 
Wasuse tu Mimi binafsi sina tatizo Cha msingi wasichukue posho ya siku hiyo na Kama wamelipwa per diem ,per diem ya siku hiyo warudishe
 
Bora tu wasishiriki maana huenda Bunge likageuzwa jukwaa/uwanja wa kampeni.

Humo huenda watakuwa wamepanga kushangilia na kugonga meza na vijembe kwa wapinzani .
Kwa kweli. Maana hivi juzi tu bunge liligeuka jukwaa la kisiasa la kupokea wanachama wapya. Spika alisikika akisema yeye ni mjumbe wa NEC ya CCM hivyo anampokea Lijualikali kwenye Chama. Kwa kweli bunge limekuwa kijiwe tu kama vijiwe vingine.
 
Lijualikali ameakamata sana
Kwa kweli. Maana hivi juzi tu bunge liligeuka jukwaa la kisiasa la kupokea wanachama wapya. Spika alisikika akisema yeye ni mjumbe wa NEC ya CCM hivyo anampokea Lijualikali kwenye Chama. Kwa kweli bunge limekuwa kijiwe tu kama vijiwe vingine.
 
Kama jiwe na tiss yake wanavyopanga kuteka, kuua ma kuiba fedha za umma, bila kusahau wanavyopanga kuiba kura na kupora ushindi kwa msaada wa jwtz, police na NEC.
 
Mi naona wakiwemo ama wasipokiwemo haina tofauti yeyote ile.
Kama wana shughuli ya maana ya kufanya basi wanaweza kuifanya badala ya kupoteza muda wao kusikiaza mambo ambayo ni marudio. ( repeatation)
Shughuli ya maana waipate wapi hao ? Watoke tu kwani wameanza leo kufanya upuuzi huo ?
 
Acha kupotosha binti ukiitwa polisi uataeleza haya
Kama jiwe na tiss yake wanavyopanga kuteka, kuua ma kuiba fedha za umma, bila kusahau wanavyopanga kuiba kura na kupora ushindi kwa msaada wa jwtz, police na NEC.
 
kwani taifa lina taswira nzuri au nikupakana siagi kwa mgongo wa chupa
 
non-sense
 
Ni bahati mbaya sana, kama wanataka hiiitaonyesha kuwa nchi hi inademokrasia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…