love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
- Thread starter
-
- #41
Duuh!!! me najua ameelemewa na buyu la asali..Jambo moja unatakiwa kulijua ni kuwa,
Mbowe anapokaa kimya Huwa ni hatari ktk kupanga mikakati kuliko hata anapokuwa jukwaani.
Uchaguzi Leo hii ukifanyika Kwa HAKI, CDM wanapaita 70% ya wabunge wote.
Mbowe Hana Bei, msijitoe ufahamu😠😠Duuh!!! me najua ameelemewa na buyu la asali..
Hao wabunge anaweza kuwapata lakini sio kwa juhudi zake ila uzembe wa awamu iliyopo
sawa lakini historia inatuambia tofauti..Mbowe Hana Bei, msijitoe ufahamu😠😠
Vyama hukosea pia,sawa lakini historia inatuambia tofauti..
miaka zaidi ya kumi wanaimba kuwa ni fisadi 2015 mwezi wa saba anakuwa mgombea wao
Minajua walilamba asali, mtu jana alikuwa na kadi ya ccm kesho mnampitisha kuwa mgombeaVyama hukosea pia,
Hata CCM wapo wanaoamini yule wa msoga hakufaa kupewa kiti ukilinganisha na Dr Salim Ahmad Salim.
Katika akili yako timamu unahisi Mbowe kajitolea kwa ajili yako na sio maslahi yake? 🤣Hiyo lugha ya "kulamba asali" ni ya maudhi sana. Ukiulizwa utueleze hiyo asali inalambwaje unaweza kueleza? Wewe mwenyewe uko nyuma ya keyboard huku ukitumia fake ID, halafu uko frontline kubeza watu wanaojitolea muda, rasilimali na uhai wao kurekebisha mambo. Afadhali wao wamefikia hapo, wewe mchango wako ni upi? Si ujitokeze unyooshe yaliyoshindikana ili tukuone kidume?
Nimekwambia Mbowe Hana Bei,Minajua walilamba asali, mtu jana alikuwa na kadi ya ccm kesho mnampitisha kuwa mgombea
wakati huo mlikuwa mnamuita fisadi hiyo sio mistake ni decision
Kweli hana bei ila historia inatuambia tofauti pale alipomkabidhi ugombea uraisi mtuNimekwambia Mbowe Hana Bei,
Wangekuwa wamenunuliwa wangemkabidhi uenyekiti wa chama.
Ile ilikuwa POLITICAL miscalculation
CCM waliporuhusu vyama vingi 1992 wakati ambao 80% ya wananchi walikuwa wamevikataa,Kweli hana bei ila historia inatuambia tofauti pale alipomkabidhi uogpmbea uraisi mtu
aliyemuimba ni fisadi kwa miaka zaidi ya kumi
Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi.
DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya kwanza anatoka Lupango hana tena stori za katiba mpya, anasubiri tena maridhiano 2028.
Kwa mujibu wako hayo unayosema. Unafikiri ni rahisi kumnyamazisha mtu mzima uliyempa kesi ya ugaidi kwa fitina tu.Nimekwambia Mbowe Hana Bei,
Wangekuwa wamenunuliwa wangemkabidhi uenyekiti wa chama.
Ile ilikuwa POLITICAL miscalculation
Hapana mimi sio sadist ila siwezi kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa
Hellow STUKA bas!!Kwa mujibu wako hayo unayosema. Unafikiri ni rahisi kumnyamazisha mtu mzima uliyempa kesi ya ugaidi kwa fitina tu.
waliokataa ni wana ccm wenyewe na waliokubali ni wao wale wale hakuna mwananchi alipiga kura ya maoni.CCM waliporuhusu vyama vingi 1992 wakati ambao 80% ya wananchi walikuwa wamevikataa,
Unaamini pia NYERERE na CCM walikuwa wamehongwa?
Childish argument.Katika akili yako timamu unahisi Mbowe kajitolea kwa ajili yako na sio maslahi yake? 🤣
Hesabu za CCM ni kuwajaza noti wapinzani na kuacha wafanye biashara zao kwa uhuru ili ikifika wakati wa uchaguzi mzugwe zugwe waanze kulia unafiki kuwa wameibiwa kura wapelekane korokoroni kimchongo baada ya muda maisha yanaendelea.
Naunga mkono hoja, pale haki inapogeuzwa hisani!. Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?
P
I was there,waliokataa ni wana ccm wenyewe na waliokubali ni wao wale wale hakuna mwananchi alipiga kura ya maoni.
pressure ya mabeberu kupewa misaada
Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu Dj akaona anunue uhuru wake huku akilamba na asaliHellow STUKA bas!!
Mbowe alitaka kesi iendelee,
Alikuwa radhi hata kufia gerezani,
Sirikali kupitia DPP ndo waliingia mitini.
Walipomshindwa, hapakuwa na namna zaidi ya kutii matakwa yake😠😠
Continue to fall for mind games🤣Punguza unafiki, mnaona aibu CHADEMA kupata pointing tatu muhimu, Mikutano, katiba na marekebisho ya sheria. Mmebaki na hearsay za mfa maji.
Kwa kura ya maoni au kwa kitu gan?I was there,
Tuliikataa issue ya vyama vingi.