Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,290
- 2,438
"Barabara itakamilika Lini?" Hili ndio linaloitwa 'swali zito'!!! Tena linaulizwa na wapinga Maendeleo ya VITU!!! Si angeuliza wananchi wa Bunda wataanza lini kujazwa mapesa😀😀Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana. Asante mwenyekiti Mbowe kwa kuwapa nafasi hawa wakinamama.
View attachment 1692346