CHADEMA wawasha moto Bungeni, Bulaya auliza swali zito kwa Waziri, Mdee naye ajiandaa

Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

=====

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.

Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.

"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.

Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.

Chanzo: EATV

Taarifa hii inatakiwa isahihishwe na isomeke kama ifuatavo:
MBUNGE WA VITI MAALUMU KUPITIA SPIKA NDUGAI NA NEC YA KAIJAGE ESTHER BULAYA..........!!!
Kudai ni Mbunge kupitia CHADEMA ni dharau kwa Wanachadema wote na Katiba ya JMT!! Hawa Wabunge fake walishavuliwa Uanachama wa CHADEMA kitambo sanaaaaa!!!
 
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

=====

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.

Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.

"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.

Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.

Chanzo: EATV
Atakuaje Chadema wakati Kesha fukuzwa Acha unafiki huyo ni Mbunge Mteule wa Ccm
 
CHADEMA hatuna wabunge kwenye bunge hili
.
 
Wacha we!
 
Salary Slip na Erythrocyte njooni muone wabunge wenu Wachadema jinsi wanavyokiwakilisha chama chenu vyema hapa bungeni. Kwakweli wanawake ni jeshi kubwaa. Tunakipongeza chama chenu kwa kutuletea majembe bungeni.
Kwani hapo cha ajabu ni nini? Kwani hayo maswali marahisi ya miundo mbinu huwa hayaulizwi hata na wabunge wa CCM?
Hoja mbovu kabisa hii
Mmevunja Katiba pia mmezarau mhimili wa mahakama alafu unakuja kuongea pumba hapa?😬
 
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

=====

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.

Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.

"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.

Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.

Chanzo: EATV
Chadema haina mbunge bungeni anayeitwa Bulaya.
 
Kwani hapo cha ajabu ni nini? Kwani hayo maswali marahisi ya miundo mbinu huwa hayaulizwi hata na wabunge wa CCM?
Hoja mbovu kabisa hii
Mmevunja Katiba pia mmezarau mhimili wa mahakama alafu unakuja kuongea pumba hapa?😬
Kwahiyo hutaki tena hao makamanda wa chedema wachape kazi bungenii??
 
p
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

=====

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.

Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.

"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.

Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.

Chanzo: EATV
ale msemaji wa Simba anapotangaza habari chanya za yanga huku akijifanya ana mapenzi ya dhati na Simba,ccm mtakufa na presha chadema ipo tayari moyoni mwa watu jamani
 
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

=====

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.

Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.

"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.

Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.

Chanzo: EATV
Usiseme CHADEMA kwenye heading yako bali weka CCM part two yawasha moto
 
Nakumbuka enzi hizo, wakuu wa vyuo vya ualimu walikuwa na nafasi zao kwa wanafunzi, ndio mwanzo wa kuaribika elimu, kwani zilijazwa na waliofeli sana, leo naona tena wamejazwa bungeni!
 
Aisee. Kweli binadamu ni haiba (character). Njia nyingine ya kumuua ni kuiua haiba yake (character assassination).

Aung San Suu Kyi wa Myanmar (Burma) alitambulika dunia nzima kwa kupambania demokrasia na haki za binadamu nchini kwake hadi kukaa kizuizini kwa miaka 15. Alipata tuzo ya Nobel ya amani mwaka 1991 na zinginezo. Hatimaye Jeshi likalegeza msimamo na kuruhusu uchaguzi uliompa Urais mwaka 2015 kwa mkataba wa ushirikiano. Jeshi lilipoendesha mauaji ya kimbari (genocide) ya waislamu wa Rohingya, akalitetea Umoja wa Mataifa. Huo ndio ukawa mwisho wa haiba yake kama mpigania demokrasia na haki za binadamu. Ni kitendo kilichowashangaza na kuwaudhi mashabiki wake wengi duniani.

Juzi jeshi limemgeuka na kumpindua baada ya ushindi wake wa kishindo wa 2020. Jumuia ya kimataifa inalaani na kudai jeshi lirejeshe demokrasia Myanmar, lakini hakuna tena anayemtaja Aung San Suu Kyi. She already fell from grace long time. Madikteta jeshini wamefanikiwa kuiua haiba yake iliyokuwa ngome yake kuu. Watu wanadai demokrasia lakini sasa wanataka kiongozi mwingine sio Suu Kyi tena.

Hapa kwetu tunashuhudia jinsi wanasiasa waliokuwa na haiba nzito wakiwa upinzani hasa (CHADEMA) wakianguka baada ya "kuunga mkono juhudi". Ninamuangalia H Mdee akiwa Bungeni naona kanywea kabisa. Zile mbwembwe na bashasha zake za enzi za CHADEMA hazipo tena. Dr. Slaa mwenyewe siku hizi hawezi kuhamasisha watu wamsikilize seriously. Mkumbuke Slaa wa Mwembe Yanga. Hawezi tena kutoa ujumbe wa maana kwa wananchi. Hawa watu wamekuwa "emasculated" kabisa. Hawawezi kuwa na kauli/ujumbe wa kutiliwa maanani tena.

Vivyo hivyo, nikivuta fikra (stretch of imagination) kuhusu watu kaliba (calibre) ya Sugu, Heche, Msigwa, Lema, Mbowe na Lissu waamue "kuunga mkono juhudi", nina hakika haiba zao zinazovuta mamilioni ya Watanzania zitazimika vibaya sana. Wamejichimbia mno upinzani kiasi kwamba hawawezi kutoka huko bila kutenguka vibaya na kuwa vilema wa kisiasa.
 
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

=====

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.

Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.

"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.

Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.

Chanzo: EATV
Siyo chadema sema cov 19
 
Normally “you go to war with the army you have....not the army you might wish to have at a later time”
Not really..... It's advised that with a weak army, u might need to wait for ur anemy to wane in power before you counter attack with ur weak army.

Keyword is TIME..... CHADEMA ingepeleka wabunge lakini katika right TIME na strategy baada ya kuipress serikali ukutani kuhusu uchaguzi uliopita na sio kukurupuka hata bado vuguvugu la uchaguzi halijaisha.
 
Back
Top Bottom