kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Hoyeeeee mbunge wetu
Haki ipi? Ya kupeleka majina bila kupitishwa na kamati kuu?Mwaka huuu mtawaita kila tusi mtakaloliona. Ila haki za wamama hao lazima zisimamiwe. Na hao wamama niwanachama halali wa chama chenu, licha ya zile mbwembwe zenu za kipindi kile.
Upo sahihi kabisa. Key word was time. Ndio maana wale wajanja wakaact haraka na kufanya yao. Hawakusubiri na kupoteza muda ili wajijenge na wawe kwenye position nzuri. You fight with what you have...Keyword is TIME..... CHADEMA ingepeleka wabunge lakini katika right TIME na strategy baada ya kuipress serikali ukutani kuhusu uchaguzi uliopita ..
Majina gani yaliyopelekwa bila kupita kwenye kamati ya chama chenu?? Unataka kuwafanya wabunge wale nimatahila walijipeleka?? Mpaka Leo wangepata nguvu yakuingia bungenii??Haki ipi? Ya kupeleka majina bila kupitishwa na kamati kuu?
Mbunge wa Nkasi pekee ndio ana haki na ndio maana hajatimuliwa mpaka sasa lakini hawa wengine wamefanya jinai. Sasa haki gani hiyo inadaiwa kwa kufoji nyaraka?
Mkuu Mahera alikana kupokea majina ila tarehe ambayo Ndugai anadai kupokea majina ina coincide na siku ya kanusho.Majina gani yaliyopelekwa bila kupita kwenye kamati ya chama chenu?? Unataka kuwafanya wabunge wale nimatahila walijipeleka?? Mpaka Leo wangepata nguvu yakuingia bungenii??
Hao covid-19, kwa ujumla Wana umri mdogo , ni nini hatuma yao ya kisiasa baada ya 2025? Wataunda chama chao ili wagombee ubunge au ni maccm?Chadema Ina mbunge mmoja tu,wele Covid 19 ni wa Ndugai.
Hiyo chadema ya lumumba au ccm B,viti maalum vya ndugaiKwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.
Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.
"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.
Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.
Chanzo: EATV
Hiii nimichongo ya walioko juuu juuu hukoo. Kwa akiliyako ebufikilia, kama kweli walilubuniwa na akina ndugai mnavyowatuhumu bila hata ushaidi wowote, hivi kweliii wanawake wote wale pamoja na kuwa na kuwa icons kwenye chama eti nao walikubali kulubuniwaa na wakakubaliii??Mkuu Mahera alikana kupokea majina ila tarehe ambayo Ndugai anadai kupokea majina ina coincide na siku ya kanusho.
Otherwise kina Mdee wangeenda kujitetea kwenye kamati kuu afterall si ndio ilipitisha majina? Mdee wana kosa gani? Lakini hawakutokea...... Sababu wanajua hawana baraka za chama.
Shida ya CHADEMA sio Bulaya na Mdee kuapa bali kutumia ujanja ujanja kukizunguka chama ili waende bungeni na ndio maana hilo swali waliwepa kujibu siku ya press conference.
Kwa akili zako unafikiri akina mdee walijipelekaa???Mkuu Mahera alikana kupokea majina ila tarehe ambayo Ndugai anadai kupokea majina ina coincide na siku ya kanusho.
Otherwise kina Mdee wangeenda kujitetea kwenye kamati kuu afterall si ndio ilipitisha majina? Mdee wana kosa gani? Lakini hawakutokea...... Sababu wanajua hawana baraka za chama.
Shida ya CHADEMA sio Bulaya na Mdee kuapa bali kutumia ujanja ujanja kukizunguka chama ili waende bungeni na ndio maana hilo swali waliwepa kujibu siku ya press conference.
Wala hawatumiki,bali ni waandishi makanjanja.Hawa East Africa watakua wanatumika na mataga
Tangu lini Hawa kumi na tisa wamekua wabunge wa Chadema?
Hiii nimichongo ya walioko juuu juuu hukoo. Kwa akiliyako ebufikilia, kama kweli walilubuniwa na akina ndugai mnavyowatuhumu bila hata ushaidi wowote, hivi kweliii wanawake wote wale pamoja na kuwa na kuwa icons kwenye chama eti nao walikubali kulubuniwaa na wakakubaliii??
Mie sielewi kitu.... Mnasema Mbowe ni dikteta sasa kweli Mbowe ashindwe kuitisha press conference na kuendorse viti maalum waende bungeni hadi azunguke zunguke kwa njia za panya? Kma aliweza mpokea Lowassa ndio sembuse alishindwa kushawishi kamati kuu ipeleke majina? Mbowe huyu au mwingine?Kwa akili zako unafikiri akina mdee walijipelekaa???
Maigizo matupu,hakuna kitu hapo,tunafanyiwa bongo muviKwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.
Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.
"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.
Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.
Chanzo: EATV
Wabunge wa CHADEMA ipi?Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

Leta ushahidi,acha kuwa mediocreMkuu mbona ruzuku mwenyekiti anavuta
Watu kama wewe ni mzigo kwa taifa.Alivyokuwa mbunge wa jimbo hilo alikuwa hatetei wala kulisemea alikuwa kazi kupinga tu ohh maendeleo sio vitu ni watu
Naona sasa akili zimewarudia porojo za Lisu na Chadema za kusema maendeleo sio vitu wameziitupilia mbali na kumrushia Lisu na Amsterdam wake
Sasa mkajiulize wenyewe huko kwenye chama chenu, hao wabunge vitimaalumu wamefikaje huko. Na kwa nini wanaujasiri mkubwa licha ya nyie kuwafukuza uana chama.Mie sielewi kitu.... Mnasema Mbowe ni dikteta sasa kweli Mbowe ashindwe kuitisha press conference na kuendorse viti maalum waende bungeni hadi azunguke zunguke kwa njia za panya? Kma aliweza mpokea Lowassa ndio sembuse alishindwa kushawishi kamati kuu ipeleke majina? Mbowe huyu au mwingine?
Then CHADEMA nachofahamu wangeweza peleka wabunge baadae ila ile kususa ilikua leverage dhidi ya serikali mpaka hatua zichukuliwe. Ssa walikua na haja gani ya kukimbilia kupeleka wabunge ilihali muda wa kuapa kisheria haujapita wala vuguvugu la uchaguzi halijapoa?
So CHADEMA hawakuwa na sababu za kupeleka kabisa ndio maana kila mtu analaumu Mdee na Bulaya
Ujasiri gani wakati wameshatimuliwa? Press conference yao walikua na ujasiri? Mbona walikua wanalialia kwamba kamati kui ipunguze hasiraSasa mkajiulize wenyewe huko kwenye chama chenu, hao wabunge vitimaalumu wamefikaje huko. Na kwa nini wanaujasiri mkubwa licha ya nyie kuwafukuza uana chama.