CHADEMA wawasha moto Bungeni, Bulaya auliza swali zito kwa Waziri, Mdee naye ajiandaa

Waliishatimuliwa lakini Ruzuku ya kila mwezi chama kinapokea hii ni ajabu sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Thibitisha.
Hiyo fedha za ruzuku zinaingia kwenye account gani? Baraza la wadhamini hawajapeleka account yoyote.
Hebu nipe uthibitisho wako usio na mashaka
 
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

=====

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.

Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.

"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.

Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.

Chanzo: EATV
CHADEMA haina wabunge, hao ni wabunge wa John na Nduguyi!!
 
nguruwe ni nguruwe tu hata akiitetea Quran anabaki kubaki kuwa najisi.

Hao covid19 hata waongee hadi wavimbe mashavu sisi hatuwatambui wasaliti wakubwa hao.
 
Hata wangeingia bungeni na bendera ya cdm, watu tumeshawadelete. Wao wapambane kuvuta posho zao kwenye hilo bunge kibogoyo la ccm.
Utawala wa sheria ni mihimu sana. Hawa walikata rufaa baraza kuu la chama baada ya kufukuzwa na kamati kuu.

Tusubiri uamuzi wa baraza kuu (japo kutokana na ukata inaweza chukua muda mrefu kuliko ilivuotarajiwa kwa baraza hilo kukutana).
 
Hamna cha kukutana hapo ni kupotezeana tu muda.
 
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

=====

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.

Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.

"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.

Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.

Chanzo: EATV
Chadema hawako Bungeni, kuna wahuni 19
 
Thibitisha hiyo ruzuku iliyovutwa, Chadema haina wabunge kwenye Bunge hili
 
Salary Slip na Erythrocyte njooni muone wabunge wenu Wachadema jinsi wanavyokiwakilisha chama chenu vyema hapa bungeni. Kwakweli wanawake ni jeshi kubwaa. Tunakipongeza chama chenu kwa kutuletea majembe bungeni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Chadema hatuna wabunge kibaya zaidi mwaka huu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendeshwa bila ya bunge isipokua kuna baraza la kikundi cha wababe wachache walioshikilia dola ambao wameamua kutawala nchi kibabe bila ridhaa ya wananchi walio wengi

Ambao kwa makusudi wameamua kucheza sinema za maigizo kuwahadaa wananchi jambo ambalo litawacost kwa sababu kihistoria Mungu hajawahi kuuacha salama utawala wa kibabe anguko lake huwa ni udhalili
 
Back
Top Bottom