Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,290
- 2,438
"Barabara itakamilika Lini?" Hili ndio linaloitwa 'swali zito'!!! Tena linaulizwa na wapinga Maendeleo ya VITU!!! Si angeuliza wananchi wa Bunda wataanza lini kujazwa mapesa😀😀Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana. Asante mwenyekiti Mbowe kwa kuwapa nafasi hawa wakinamama.
View attachment 1692346
Weka ushahidi kama Chadema wamelipwa ruzukumkuu mbona ruzuku mwenyekiti anavuta
Mbona ndungai hamtoi nje mzee mdee kwa kuvaa barakoa na kuleta taharuki mjengoni? Hii si sawa.Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana. Asante mwenyekiti Mbowe kwa kuwapa nafasi hawa wakinamama.
View attachment 1692346
Hivi kweli CCM kimebaki kiwanda cha kutengeneza wajinga? CHADEMA wamesema hakuna fedha ilipelekwa kwao mwenye amushahidi atoe, mmebaki na porojo kwa wapiga debe. Halafu mnaongea kama Mazuzu eti ruzuku inatolewa kutokana na Uviko19!!?mkuu mbona ruzuku mwenyekiti anavuta
Wewe ni nani.Chadema haina wabunge bungeni , usihusishe Chadema na hao watu wa Ndugai wataje kwa majina yao
Nakuonya kwa mara ya mwisho
Wewe ni mhazini wa CHADEMA?Hivi kweli CCM kimebaki kiwanda cha kutengeneza wajinga? CHADEMA wamesema hakuna fedha ilipelekwa kwao mwenye amushahidi atoe, mmebaki na porojo kwa wapiga debe. Halafu mnaongea kama Mazuzu eti ruzuku inatolewa kutokana na Uviko19!!?
Juzi ruzuku icheleweshwa wamelalamika sana.mkuu mbona ruzuku mwenyekiti anavuta
Kwa ni walisema wanashida na pesa isiyohalali.Kwani COVID 19 hawalipi zile tozo za CHADEMA kuwa mbunge wa viti muhimu ? Maana ruzuku haijasusiwa
Wanawakilisha CHADEMA kivipi wakati wameshavuliwa uanachama?Salary Slip na Erythrocyte njooni muone wabunge wenu wachadema jinsi wanavyokiwakilisha chama chenu vyema hapa bungenii. Kwakweli wanawake ni jeshi kubwaa. Tunakipongeza chama chenu kwa kutuletea majembe bungeni.
Umeanza lini kuipenda chademaKwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana....
Salary Slip na Erythrocyte njooni muone wabunge wenu Wachadema jinsi wanavyokiwakilisha chama chenu vyema hapa bungeni. Kwakweli wanawake ni jeshi kubwaa. Tunakipongeza chama chenu kwa kutuletea majembe bungeni.
Waliishatimuliwa lakini Ruzuku ya kila mwezi chama kinapokea hii ni ajabu sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hawa sio wanachama wa Chadema, walishatimuliwa
Mbona ruzuku kila mwezi cham kinapokea na mnakaa kimya ajabu kabisaChadema haina wabunge bungeni, usihusishe CHADEMA na hao watu wa Ndugai wataje kwa majina yao
Nakuonya kwa mara ya mwisho