Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Thibitisha.Waliishatimuliwa lakini Ruzuku ya kila mwezi chama kinapokea hii ni ajabu sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Toka lini majembe na makamanda ya chadema yawe tena wanaccm?? Tena akina mdee, na et all ??Hao ni wabunge wa CCM!
Wamevuliwa na nani?? Wangevuliwa uanachama wangeruhusiwa kuitwa wabunge wa vitimaalumu wa chadema???Wanawakilisha CHADEMA kivipi wakati wameshavuliwa uanachama?
CHADEMA haina wabunge, hao ni wabunge wa John na Nduguyi!!Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.
Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.
"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.
Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.
Chanzo: EATV
weka ushahidiMbona ruzuku kila mwezi cham kinapokea na mnakaa kimya ajabu kabisa
Utawala wa sheria ni mihimu sana. Hawa walikata rufaa baraza kuu la chama baada ya kufukuzwa na kamati kuu.Hata wangeingia bungeni na bendera ya cdm, watu tumeshawadelete. Wao wapambane kuvuta posho zao kwenye hilo bunge kibogoyo la ccm.
Utawala wa sheria ni mihimu sana. Hawa walikata rufaa baraza kuu la chama baada ya kufukuzwa na kamati kuu.
Tusubiri uamuzi wa baraza kuu (japo kutokana na ukata inaweza chukua muda mrefu kuliko ilivuotarajiwa kwa baraza hilo kukutana).
Chadema hawako Bungeni, kuna wahuni 19Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.
Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.
"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.
Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.
Chanzo: EATV
Kwani wanaitwa hivyo na CHADEMA?Wamevuliwa na nani?? Wangevuliwa uanachama wangeruhusiwa kuitwa wabunge wa vitimaalumu wa chadema???
Isijekuwa huu ukimya wa wahusika wa kuitisha kikao cha baraza kuu wameamua kuchukua msimamo kama huo wa kwako.Hamna cha kukutana hapo ni kupotezeana tu muda.
hii ni misemo ya watu kama wewe haina maana yoyote sometimesNormally “you go to war with the army you have....not the army you might wish to have at a later time”
Yeah man. Sometimes haina maana, sometimes inayo.hii ni misemo ya watu kama wewe haina maana yoyote sometimes
Isijekuwa huu ukimya wa wahusika wa kuitisha kikao cha baraza kuu wameamua kuchukua msimamo kama huo wa kwako.
Waulize wenyewe chademaKwani wanaitwa hivyo na CHADEMA?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Salary Slip na Erythrocyte njooni muone wabunge wenu Wachadema jinsi wanavyokiwakilisha chama chenu vyema hapa bungeni. Kwakweli wanawake ni jeshi kubwaa. Tunakipongeza chama chenu kwa kutuletea majembe bungeni.