Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.
Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.
"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.
Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.
Chanzo: EATV
Atakuaje Chadema wakati Kesha fukuzwa Acha unafiki huyo ni Mbunge Mteule wa CcmKwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.
Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.
"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.
Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.
Chanzo: EATV
CHADEMA hatuna wabunge kwenye bunge hiliKwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

Wacha we!Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.

Kwani hapo cha ajabu ni nini? Kwani hayo maswali marahisi ya miundo mbinu huwa hayaulizwi hata na wabunge wa CCM?Salary Slip na Erythrocyte njooni muone wabunge wenu Wachadema jinsi wanavyokiwakilisha chama chenu vyema hapa bungeni. Kwakweli wanawake ni jeshi kubwaa. Tunakipongeza chama chenu kwa kutuletea majembe bungeni.
Chadema haina mbunge bungeni anayeitwa Bulaya.Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.
Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.
"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.
Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.
Chanzo: EATV
Kwahiyo hutaki tena hao makamanda wa chedema wachape kazi bungenii??Kwani hapo cha ajabu ni nini? Kwani hayo maswali marahisi ya miundo mbinu huwa hayaulizwi hata na wabunge wa CCM?
Hoja mbovu kabisa hii
Mmevunja Katiba pia mmezarau mhimili wa mahakama alafu unakuja kuongea pumba hapa?😬
ale msemaji wa Simba anapotangaza habari chanya za yanga huku akijifanya ana mapenzi ya dhati na Simba,ccm mtakufa na presha chadema ipo tayari moyoni mwa watu jamaniKwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.
Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.
"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.
Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.
Chanzo: EATV
Usiseme CHADEMA kwenye heading yako bali weka CCM part two yawasha motoKwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.
Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.
"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.
Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.
Chanzo: EATV
Mkuu, hivi chadema ilishamwandika barua spika kumtaarifu kuwa hao walitimuliwa chamani?Hawa sio wanachama wa Chadema, walishatimuliwa
Siyo chadema sema cov 19Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji ni lini barabara ya Kisorya, Bunda itakamilika.
Ni katika Kikao cha Kwanza cha mkutano wa pili wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ndipo alipouliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi, huku akieleza kuwa mchakato wa ujenzi wa barabara umechukua takribani miaka 15 sasa.
"Uchelewashwaji wa ukamilishwaji wa miradi ya barabara limekuwa ni tatizo sugu, hapa ninapozungumza ujenzi wa barabara wa kutoka Kisorya, Bunda, ahadi na uanzaji wake umechukua takribani miaka 15, sasa nataka kujua ni lini hiyo barabara itakamilika kwa sababu ikikamilika inaunganisha na barabara ya Serengeti na imekuwa kilio kikubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mara", amesema Mbunge Ester Bulaya.
Ikumbukwe kuwa Ester Bulaya na wenzake 18, walikwishafukuzwa Uanachama na chama chao cha CHADEMA, baada ya wao kwenda kula kiapo cha ubunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama chao, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni wasaliti.
Chanzo: EATV
Wasagaj* hao ndani ya bungeKwakuwa wake zenu walichinjiwa baharini, ndiomaana unasema hivo. Tulia majembe yachape kaziii, we we tutashinda wote huku mitandaoniii.
Mwaka huuu mtawaita kila tusi mtakaloliona. Ila haki za wamama hao lazima zisimamiwe. Na hao wamama niwanachama halali wa chama chenu, licha ya zile mbwembwe zenu za kipindi kile.
Not really..... It's advised that with a weak army, u might need to wait for ur anemy to wane in power before you counter attack with ur weak army.Normally “you go to war with the army you have....not the army you might wish to have at a later time”