CHADEMA wawasha moto Bungeni, Bulaya auliza swali zito kwa Waziri, Mdee naye ajiandaa

Mwaka huuu mtawaita kila tusi mtakaloliona. Ila haki za wamama hao lazima zisimamiwe. Na hao wamama niwanachama halali wa chama chenu, licha ya zile mbwembwe zenu za kipindi kile.
Haki ipi? Ya kupeleka majina bila kupitishwa na kamati kuu?

Mbunge wa Nkasi pekee ndio ana haki na ndio maana hajatimuliwa mpaka sasa lakini hawa wengine wamefanya jinai. Sasa haki gani hiyo inadaiwa kwa kufoji nyaraka?
 
Keyword is TIME..... CHADEMA ingepeleka wabunge lakini katika right TIME na strategy baada ya kuipress serikali ukutani kuhusu uchaguzi uliopita ..
Upo sahihi kabisa. Key word was time. Ndio maana wale wajanja wakaact haraka na kufanya yao. Hawakusubiri na kupoteza muda ili wajijenge na wawe kwenye position nzuri. You fight with what you have...
 
Haki ipi? Ya kupeleka majina bila kupitishwa na kamati kuu?

Mbunge wa Nkasi pekee ndio ana haki na ndio maana hajatimuliwa mpaka sasa lakini hawa wengine wamefanya jinai. Sasa haki gani hiyo inadaiwa kwa kufoji nyaraka?
Majina gani yaliyopelekwa bila kupita kwenye kamati ya chama chenu?? Unataka kuwafanya wabunge wale nimatahila walijipeleka?? Mpaka Leo wangepata nguvu yakuingia bungenii??
 
Majina gani yaliyopelekwa bila kupita kwenye kamati ya chama chenu?? Unataka kuwafanya wabunge wale nimatahila walijipeleka?? Mpaka Leo wangepata nguvu yakuingia bungenii??
Mkuu Mahera alikana kupokea majina ila tarehe ambayo Ndugai anadai kupokea majina ina coincide na siku ya kanusho.

Otherwise kina Mdee wangeenda kujitetea kwenye kamati kuu afterall si ndio ilipitisha majina? Mdee wana kosa gani? Lakini hawakutokea...... Sababu wanajua hawana baraka za chama.

Shida ya CHADEMA sio Bulaya na Mdee kuapa bali kutumia ujanja ujanja kukizunguka chama ili waende bungeni na ndio maana hilo swali waliwepa kujibu siku ya press conference.
 
Chadema Ina mbunge mmoja tu,wele Covid 19 ni wa Ndugai.
Hao covid-19, kwa ujumla Wana umri mdogo , ni nini hatuma yao ya kisiasa baada ya 2025? Wataunda chama chao ili wagombee ubunge au ni maccm?
 
Hiyo chadema ya lumumba au ccm B,viti maalum vya ndugai
 
Hiii nimichongo ya walioko juuu juuu hukoo. Kwa akiliyako ebufikilia, kama kweli walilubuniwa na akina ndugai mnavyowatuhumu bila hata ushaidi wowote, hivi kweliii wanawake wote wale pamoja na kuwa na kuwa icons kwenye chama eti nao walikubali kulubuniwaa na wakakubaliii??
 
Kwa akili zako unafikiri akina mdee walijipelekaa???
 
Kwa akili zako unafikiri akina mdee walijipelekaa???
Mie sielewi kitu.... Mnasema Mbowe ni dikteta sasa kweli Mbowe ashindwe kuitisha press conference na kuendorse viti maalum waende bungeni hadi azunguke zunguke kwa njia za panya? Kma aliweza mpokea Lowassa ndio sembuse alishindwa kushawishi kamati kuu ipeleke majina? Mbowe huyu au mwingine?

Then CHADEMA nachofahamu wangeweza peleka wabunge baadae ila ile kususa ilikua leverage dhidi ya serikali mpaka hatua zichukuliwe. Ssa walikua na haja gani ya kukimbilia kupeleka wabunge ilihali muda wa kuapa kisheria haujapita wala vuguvugu la uchaguzi halijapoa?

So CHADEMA hawakuwa na sababu za kupeleka kabisa ndio maana kila mtu analaumu Mdee na Bulaya
 
Maigizo matupu,hakuna kitu hapo,tunafanyiwa bongo muvi
 
Wabunge wa CHADEMA ipi?
 
Watu kama wewe ni mzigo kwa taifa.
 
Sasa mkajiulize wenyewe huko kwenye chama chenu, hao wabunge vitimaalumu wamefikaje huko. Na kwa nini wanaujasiri mkubwa licha ya nyie kuwafukuza uana chama.
 
Mwenye connection na Esther Bulaya; hivi ana mtoto? Kaolewa/kachumbiwa? Of course nimemuelewa sana, i know she is ana orphan so naweza kwenda kujitambulisha kwa ndugu yake yeyote; nitafanya hivyo tu nikipata hayo majibu ya maswali yangu 2 na hasa majibu ya hayo maswali yakiwa NO
 
Sasa mkajiulize wenyewe huko kwenye chama chenu, hao wabunge vitimaalumu wamefikaje huko. Na kwa nini wanaujasiri mkubwa licha ya nyie kuwafukuza uana chama.
Ujasiri gani wakati wameshatimuliwa? Press conference yao walikua na ujasiri? Mbona walikua wanalialia kwamba kamati kui ipunguze hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…