Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia mikutanoni kwa kigezo cha maombi kitaenda kubackfire muda si mrefu.
Nilikuwa nasikiliza mkurano wa John Heche huko Mkoani mara, akaja mchungaji na kuanza kumwaga Injili.
Sasa hili jambo nawahikishia linakwenda kucement sentiments kuwa CHADEMA ni chama cha Wakiristo na hivyo kuendelea kustruggle sana kwenye mikoa yenye waislamu wengi.
Kama CHADEMA wana busara, hili jambo waliangalie na walifanyie kazi