kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Siasa inahitaji sana ukomavuHeche Salamu zake mkutanoni ni mbili:
1. Bwana Yesu asifiwe na:
2. Peoples power.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa inahitaji sana ukomavuHeche Salamu zake mkutanoni ni mbili:
1. Bwana Yesu asifiwe na:
2. Peoples power.
Siku zote huwa wanatufuata mtaani huwa wanaitwa?Kwani mapadri wanajipeleka tu?
Tatizo ni nini hapo?Ungalia kwa makini hata Mungu alitenganisha makuhuni na wafalme
Kutokuona tatizo,nako ni tatizoSijaona tatizo hapo
SawaKutokuona tatizo,nako ni tatizo
Mmemaliza kusema CDM ni ya Wachagga sasa Mbowe ameondoka sasa mnataka muanze CDM ni ya Wakristo.Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia mikutanoni kwa kigezo cha maombi kitaenda kubackfire muda si mrefu.
Nilikuwa nasikiliza mkurano wa John Heche huko Mkoani mara, akaja mchungaji na kuanza kumwaga Injili.
Sasa hili jambo nawahikishia linakwenda kucement sentiments kuwa CHADEMA ni chama cha Wakiristo na hivyo kuendelea kustruggle sana kwenye mikoa yenye waislamu wengi.
Kama CHADEMA wana busara, hili jambo waliangalie na walifanyie kazi
Hujajibu swali, kwa nini ulijifaragua kujibu mambo usiyoyajua?Hahaha wewe ndiye unajua hayo mambo, hongera sana.
Wanafanya kwa makusudi wewe unafikiri ni kitu kibaya hauelewi siasa za Africa. Sisasa za Africa ni lazima uingize dini kwenye mapambano ya demokrasia. Nchi zote dini zimetumika
Una hoja nzuri sana. Hata mimi huwa sipendi sana viongozi wa dini kuonekana majukwaani hata tu kufanya wanachodai ni ''kuombea mkutano''. Hili suala ni CCM wanalitumia kama njia ya kuwaghilibu raia hivyo Chadema wajiepushe. Sikatai viongozi wa dini kukemea maovu lakini wafanye hivyo sehemu neutral. Vinginevyo, kama kuna umuhimu wa kufanya hivyo basi washirikishe pia waislam au wakifika sehemu zenye waislam wengi basi wapandishe viongozi wa kiislam.Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia mikutanoni kwa kigezo cha maombi kitaenda kubackfire muda si mrefu.
Nilikuwa nasikiliza mkurano wa John Heche huko Mkoani mara, akaja mchungaji na kuanza kumwaga Injili.
Sasa hili jambo nawahikishia linakwenda kucement sentiments kuwa CHADEMA ni chama cha Wakiristo na hivyo kuendelea kustruggle sana kwenye mikoa yenye waislamu wengi.
Kama CHADEMA wana busara, hili jambo waliangalie na walifanyie kazi
Wafanye juhudi gani wakati siyo wadini? I mean wewe ukituhumiwa ni mwizi, utafanya juhudi kujisafisha wakati wewe siyo mwizi? Chadema ilituhumiwa kuwa ni chama cha wachaga na wakawa wanawaita Chagadema, sasa hivi wamekosa cha kusema na wameingia kwenye udini. Japo hata mimi sikubali hili jambo la kusimamisha viongozi wa dini kwenye mikutano lakini kuna mambo mengine inabidi upuuze tu.CDM hawafanyi bidii zozote za kujisafisha dhidi ya tuhuma za udini. Wazembe sana.
Mimi naamini kabisa CDM na viongozi wake hawana wala hawafikirii swala la udini, lakini sura ya chama chao inasema tofauti kabisa. Hivyo wanapaswa kufanya bidii kufuta hiyo sura. Hawajawahi simamisha Mgombea Urais Muislamu, wala kuwa na kiongozi mkubwa Muislamu, ni chama kikubwa lakini ni dhaifu maeneo yenye waislamu wengi nk nk. Bidii inahitajika kukipa sura ya watu wa dini zote.Wafanye juhudi gani wakati siyo wadini? I mean wewe ukituhumiwa ni mwizi, utafanya juhudi kujisafisha wakati wewe siyo mwizi? Chadema ilituhumiwa kuwa ni chama cha wachaga na wakawa wanawaita Chagadema, sasa hivi wamekosa cha kusema na wameingia kwenye udini. Japo hata mimi sikubali hili jambo la kusimamisha viongozi wa dini kwenye mikutano lakini kuna mambo mengine inabidi upuuze tu.
PointMimi naamini kabisa CDM na viongozi wake hawana wala hawafikirii swala la udini, lakini sura ya chama chao inasema tofauti kabisa. Hivyo wanapaswa kufanya bidii kufuta hiyo sura. Hawajawahi simamisha Mgombea Urais Muislamu, wala kuwa na kiongozi mkubwa Muislamu, ni chama kikubwa lakini ni dhaifu maeneo yenye waislamu wengi nk nk. Bidii inahitajika kukipa sura ya watu wa dini zote.
Unajua kuwa Chadema imewahi kuwa na mwenyekiti muislam na ni marehemu sasa? Ushamsikia Bob Makani? BTW n´mimi hili la kuhesabu viongozi kwa kuangalia dini huwa linanikwaza sana. Mimi ni mkristo lakini nipo tayari kuongozwa na rais, makamu na baraza la mawaziri, wote waislam ili mradi wawe viongozi bora.Mimi naamini kabisa CDM na viongozi wake hawana wala hawafikirii swala la udini, lakini sura ya chama chao inasema tofauti kabisa. Hivyo wanapaswa kufanya bidii kufuta hiyo sura. Hawajawahi simamisha Mgombea Urais Muislamu, wala kuwa na kiongozi mkubwa Muislamu, ni chama kikubwa lakini ni dhaifu maeneo yenye waislamu wengi nk nk. Bidii inahitajika kukipa sura ya watu wa dini zote.