Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Usiseme haiwezekani, sema hatujataka tu.Tanzania hii haiwezekani, tizama pia ni ngumu kutenganisha, serikali na chama tawala.
Viongozi wa dini wanapokea rushwa toka serikalini, bahasha kila kukicha, una watenganushaje hao na siasa.
Ukisema haiwezekani inakuwa kama kuna sheria za fizikia zinavunjwa, hakuna sheria za fizikia zinazovunjwa hapo.