Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Sawa. All the best!Sijaona tatizo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. All the best!Sijaona tatizo hapo
Ulisema nimeshindwa kutoa hata mfano mmoja wa sheria za fizikia, ukasema unamashaka hata kama najua sheria za fizikia ni nini?Hujaipotezea tu hiyo post, kwa sababu umeijibu na unaendelea kuujibu muendelezo wake.
Umekubali uneshashindwa nini? Kwa nini umeshindwa?
Hahaha ulitaka wampeleke askofu?Huoni kwamba walichofanya TEC ni kitendo cha dharau!
Kama serikali ina mamlaka kote huko kama unavyodai, kwanini serikali isiiwajibishe TEC kwa kitendo chao cha dharau?
PamojaSawa. All the best!
Genda waike. 😀 😀Hahaha ulitaka wampeleke askofu?
Walichelewa kupewa mualiko, walipopigiwa simu hatua za mwisho, hivyo na wao wakamtuma padri aliyekuwa karibu na tukio Kuwawakilisha.
Mkuu,
Unaona kuna umuhimu wa hizo dua kabla mikutano kuanza? Kwanini wasifanye mambo yao ya dua faraghani (kama yana umuhimu) kabla ya kupanda jukwaani!
Huu upuuzi nakumbuka uliasisiwa na Mrema alivyohamia NCCR akawa anazunguka kwenye mikutano yake na Sheikh Mtopea.
Mbwembwe za kishamba zilizopitwa na wakati.
Sasa kwa nini ulijifaragua kusema kutenganisha siasa na dini Tanzania kuna ugumu kuliko kuvunja sheria ya fizikia, wakati hata hujui sheria ya fizikia ni nini?Ulisema nimeshindwa kutoa hata mfano mmoja wa sheria za fizikia, ukasema unamashaka hata kama najua sheria za fizikia ni nini?
Nikajibu "ni kweli nimeshindwa kutoa hata mfano mmoja wa sheria za fizikia"
Ni kweli mashaka yako "Sizijui hata hizo sheria za fizikia"
Muliro alikuwa Arusha kipindi hicho? Au umechanganya na kamanda aliyestaafu akiwa RPC Dodoma!..napenda tu nikumbushe kauli ya AFANDE JUMANNE MULIRO ambaye alisema kwamba shambulizi la bomu ktk mkutano wa Chadema kule Arusha lilifanywa na kikundi cha magaidi walioamini kwamba chama hicho ni cha madhehebu fulani.
Muliro alikuwa Arusha kipindi hicho? Au umechanganya na kamanda aliyestaafu akiwa RPC Dodoma!
Tatizo si Chadema,tatizo ni wale watu wanaotaka kutumia Chadema na vyama vi gine kama stepping stone ya kujitangazia agenda zao.Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia mikutanoni kwa kigezo cha maombi kitaenda kubackfire muda si mrefu.
Nilikuwa nasikiliza mkurano wa John Heche huko Mkoani mara, akaja mchungaji na kuanza kumwaga Injili.
Sasa hili jambo nawahikishia linakwenda kucement sentiments kuwa CHADEMA ni chama cha Wakiristo na hivyo kuendelea kustruggle sana kwenye mikoa yenye waislamu wengi.
Kama CHADEMA wana busara, hili jambo waliangalie na walifanyie kazi
Tatizo si Chadema,tatizo ni wale watu wanaotaka kutumia Chadema na vyama vi gine kama stepping stone ya kujitangazia agenda zao.
Shida ikitokea katika jamii wataikimbia Chadema bila kelele. Dini isitumike kabisa,Mapadre na Masheikh waheshimu katiba ya Jamhuri.
Msiige wapinzani wenu Kama wanataka kuwashindacc gwajima, mzee wa upako nabii wa arusha na mwamposa
Ungalia kwa makini hata Mungu alitenganisha makuhuni na wafalmeSijaona tatizo hapo
CCM itaendelea kutawala hii nchi mpaka ichoke,bila kuwa na ushawishi wa dini zote mbili,hushindi uchaguzi,ukijiegemeza kwa dini moja mjomba imekula kwako hiyoKanuni ya separation of religion and state izingatiwe.
Kwani mapadri wanajipeleka tu?Kuna Shelkh ameenda akazuiwa?
Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia mikutanoni kwa kigezo cha maombi kitaenda kubackfire muda si mrefu.
Nilikuwa nasikiliza mkurano wa John Heche huko Mkoani mara, akaja mchungaji na kuanza kumwaga Injili.
Sasa hili jambo nawahikishia linakwenda kucement sentiments kuwa CHADEMA ni chama cha Wakiristo na hivyo kuendelea kustruggle sana kwenye mikoa yenye waislamu wengi.
Kama CHADEMA wana busara, hili jambo waliangalie na walifanyie kazi
Jamani jamani, ataweza tu kwa kweli !Hivi,kweli unataka mkurya aseme Asalaam aleykum warahma tulilah taala wabarakatul(salamaleko) au unataka ucheke hadi uzimie?Muache asalimie awezacho.
Hahaha wewe ndiye unajua hayo mambo, hongera sana.Sasa kwa nini ulijifaragua kusema kutenganisha siasa na dini Tanzania kuna ugumu kuliko kuvunja sheria ya fizikia, wakati hata hujui sheria ya fizikia ni nini?
Duh!..aliyeleta salamu za kidini kwenye masuala ya kiserikali na chama ni Benard Membe.
..wakati Mrema akigombea ubunge wa Temeke kuna watu walitaka kumtengenezea fitina ya udini sasa kupambana nao ndio Mrema akaibuka na Shekhe Mtopea.
..mtoa mada amelenga kufanya propaganda ya kidini dhidi ya Chadema.
..napenda tu nikumbushe kauli ya AFANDE JUMANNE MULIRO ambaye alisema kwamba shambulizi la bomu ktk mkutano wa Chadema kule Arusha lilifanywa na kikundi cha magaidi walioamini kwamba chama hicho ni cha madhehebu fulani.
..propaganda za udini dhidi ya Chadema ni mbaya, na zimewahi kusababisha vifo kwa wananchi wasio na hatia.