Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
cc gwajima, mzee wa upako nabii wa arusha na mwamposaKuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia mikutanoni kwa kigezo cha maombi kitaenda kubackfire muda si mrefu.
Nilikuwa nasikiliza mkurano wa John Heche huko Mkoani mara, akaja mchungaji na kuanza kumwaga Injili.
Sasa hili jambo nawahikishia linakwenda kucement sentiments kuwa CHADEMA ni chama cha Wakiristo na hivyo kuendelea kustruggle sana kwenye mikoa yenye waislamu wengi.
Kama CHADEMA wana busara, hili jambo waliangalie na walifanyie kazi
Sijaona tatizo hapo
Basi sawaUkijitia upofu huwezi kuona.
Tangia lini ukawa na akili ya kutambua matatizo kwenye mambo mazito yenye kuhitaji kutumia akili.Sijaona tatizo hapo
Wamepoteza muelekeoKuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia mikutanoni kwa kigezo cha maombi kitaenda kubackfire muda si mrefu.
Nilikuwa nasikiliza mkurano wa John Heche huko Mkoani mara, akaja mchungaji na kuanza kumwaga Injili.
Sasa hili jambo nawahikishia linakwenda kucement sentiments kuwa CHADEMA ni chama cha Wakiristo na hivyo kuendelea kustruggle sana kwenye mikoa yenye waislamu wengi.
Kama CHADEMA wana busara, hili jambo waliangalie na walifanyie kazi
Hivi,kweli unataka mkurya aseme Asalaam aleykum warahma tulilah taala wabarakatul(salamaleko) au unataka ucheke hadi uzimie?Muache asalimie awezacho.Heche Salamu zake mkutanoni ni mbili:
1. Bwana Yesu asifiwe na:
2. Peoples power.
Kwa sababu wewe ni mkiristoSijaona tatizo hapo
VEO nirushie basi hata bando la buku rafiki angu mimi na wewe ni wana snTangia lini ukawa na akili ya kutambua matatizo kwenye mambo mazito yenye kuhitaji kutumia akili.
Kuna Shelkh ameenda akazuiwa?Kwa sababu wewe ni mkiristo
Nenda kituo cha polisi kilicho karibu nawe uwaambie wakupatie kiasi unachotaka,useme CCM italipa.VEO nirushie basi hata bando la buku rafiki angu mimi na wewe ni wana sn
Mi nimekuoba wewe swaiba angu siyo CCM, kupata kazi usinitupe VEONenda kituo cha polisi kilicho karibu nawe uwaambie wakupatie kiasi unachotaka,useme CCM italipa.
Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho.
Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao.
Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia mikutanoni kwa kigezo cha maombi kitaenda kubackfire muda si mrefu.
Nilikuwa nasikiliza mkurano wa John Heche huko Mkoani mara, akaja mchungaji na kuanza kumwaga Injili.
Sasa hili jambo nawahikishia linakwenda kucement sentiments kuwa CHADEMA ni chama cha Wakiristo na hivyo kuendelea kustruggle sana kwenye mikoa yenye waislamu wengi.
Kama CHADEMA wana busara, hili jambo waliangalie na walifanyie kazi
Makosa ya kijinga sana, unahitaji maombi ya nini kwenye jukwaa la siasa!
Tanzania hii haiwezekani, tizama pia ni ngumu kutenganisha, serikali na chama tawala.Kanuni ya separation of religion and state izingatiwe.