Usiseme haiwezekani, sema hatujataka tu.Tanzania hii haiwezekani, tizama pia ni ngumu kutenganisha, serikali na chama tawala.
Viongozi wa dini wanapokea rushwa toka serikalini, bahasha kila kukicha, una watenganushaje hao na siasa.
Tanzania haiwezekani, ni ngumu kuliko sheria za fizikia kuvunjwa.Usiseme haiwezekani, sema hatujataka tu.
Ukisema haiwezekani inakuwa kama kuna sheria za fizikia zinavunjwa, hakuna sheria za fizikia zinazovunjwa hapo.
"...ni ngumu kuliko sheria za fizikia kuvunjwa..." 🤣🤣🤣Tanzania haiwezekani, ni ngumu kuliko sheria za fizikia kuvunjwa.
Dini zinasajiriwa na,serikali ya ccm, wakijitenga wanatishiwa kufutiwa usajiri, hivyo wababaki kulazimika kuungamana ccm.
Umeona sheria za magazeti ni hivyo hivyo, sasa angalia habari wanazoandika, magazeti yote habari zinafanana, gazeti likiandika tofauti linapelekewa wito kujieleza, likushindwa linafutwa.
Mkuu,..Chadema huwa wanatoa fursa kwa viongozi wa dini zote mbili kusoma dua.
Ni kiswahili tu labda, hukukielewa au niseme ni tungo tata, lakini maana yake ni kwamba sheria za fizikua ni rahisi kuvunjwa, kuliko kutenganisha dini na siasa Tanzania."...ni ngumu kuliko sheria za fizikia kuvunjwa..." 🤣🤣🤣
Kwenye maadhimisho kitaifa Dodoma ya kuasisiwa CCM mwaka huu, waislamu waliwakilishwa na Mufti Sheikh mkuu, CCT wakawakilishwa na Askofu wa Anglican, TEC wakawakilishwa na Padri ambaye sina hakika kama hata ana hadhi ya uparoko.Tanzania hii haiwezekani, tizama pia ni ngumu kutenganisha, serikali na chama tawala.
Viongozi wa dini wanapokea rushwa toka serikalini, bahasha kila kukicha, una watenganushaje hao na siasa.
Toa mfano wa sheria moja ya fizikia inayoweza kuvunjwa kirahisi kuliko kutenganisha siasa na dini Tanzania.Ni kiswahili tu labda, hukukielewa au niseme ni tungo tata, lakini maana yake ni kwamba sheria za fizikua ni rahisi kuvunjwa, kuliko kutenganisha dini na siasa Tanzania.
Naona sasa unatafuta mijadala isiyohusika kwenye nyuzi za watu.Toa mfano wa sheria moja ya fizikia inayoweza kuvunjwa kirahisi kuliko kutenganisha siasa na dini Tanzania.
Hahaha ukiwatenganisha na serikali/ccm ni sawa na kumnyima mgonjwa wa kipindupundu drip ya maji.Kwenye maadhimisho kitaifa Dodoma ya kuasisiwa CCM mwaka huu, waislamu waliwakilishwa na Mufti Sheikh mkuu, CCT wakawakilishwa na Askofu wa Anglican, TEC wakawakilishwa na Padri ambaye sina hakika kama hata ana hadhi ya uparoko.
Unaionaje hii kiprotokali? 😀 😀
Hapana, wewe ndiye umetafuta mjadala huu kwa kusema ni rahisi kuvunja sheria ya fizikia kuliko kutenganisha siasa na dini Tanzania.Naona sasa unatafuta mijadala isiyohusika kwenye nyuzi za watu.
Ni kweli nimeshindwa.Hapana, wewe ndiye umetafuta mjadala huu kwa kusema ni rahisi kuvunja sheria ya fizikia kuliko kutenganisha siasa na dini Tanzania.
Ungeweza kuipotezea hii point.
Mpaka sasa unaonesha umeshindwa kutoa hata mfano mmoja wa sheria ya fizikia inayoweza kuvunjwa kirahisi kuliko kutenganisha siasa na dini Tanzania.
Naanza kupata mashaka kama unaelewa hata sheria ya fizikia ni nini.
Kwa nini?Ni kweli nimeshindwa.
Huoni kwamba walichofanya TEC ni kitendo cha dharau!Hahaha ukiwatenganisha na serikali/ccm ni sawa na kumnyima mgonjwa wa kipindupundu drip ya maji.
Kwanza, umenishauri, kwamba ningeweza kuipotezea tu hiyo post, nikauchukua ushauri nikaufanyia kazi kama ulivyoshauri.Kwa nini?
Inawezekana wanalifanyia kazi hilo la dharau, maamuzi huwa hayatolewi siku tunayotaka sisi tusubirie.Huoni kwamba walichofanya TEC ni kitendo cha dharau!
Kama serikali ina mamlaka kote huko kama unavyodai, kwanini serikali isiiwajibishe TEC kwa kitendo chao cha dharau?
Hujaipotezea tu hiyo post, kwa sababu umeijibu na unaendelea kuujibu muendelezo wake.Kwanza, umenishauri, kwamba ningeweza kuipotezea tu hiyo post, nikauchukua ushauri nikaufanyia kazi kama ulivyoshauri.
Pilu, nikakubali hoja yako kwamba nimeshashindwa.