CHADEMA yafanya Maandamano ya Amani Dodoma yakiongozwa na Tundu Lissu

CHADEMA yafanya Maandamano ya Amani Dodoma yakiongozwa na Tundu Lissu

Chadema wanapenda kutembea hovyo hovyo, hawana kazi ndio maana, politely nyoko zao
 
1714382024577.png
 
Maandamano haya yanazidi kuivua nguo Chadema. Yanaonesha dhahiri jinsi watanzania walivyo kipuuza chama hicho.
Mwisho wa Chadema umefika.
 
CHADEMA kwa sasa haina mvuto hayo ni matembezi tu kama matembezi mengine hayana impact yoyote kwa sauti ya mama'' waacheni watembeeee wakifika mwisho wakusanyike waongee wakimaliza waende nyumbani wakalale'' unategemea nini hapoo?? hamna mvut wa chama wala maandamano
 
Wasemavyo Lumumba Fc
 
Chadema nguvu bado wanayokubwa sana juz nmeona mkutano wao watu kibao sana
Ushauri wa bure wawekeze nguvu kubwa kwenya chaguzi za wenyeviti wabunge na madiwani ila wa uraisi wasipoteze mda
Chadema haijafa iko hai na imara sana
 
Back
Top Bottom