CHADEMA yafanya Maandamano ya Amani Dodoma yakiongozwa na Tundu Lissu

CHADEMA yafanya Maandamano ya Amani Dodoma yakiongozwa na Tundu Lissu

CHADEMA kwa sasa haina mvuto hayo ni matembezi tu kama matembezi mengine hayana impact yoyote kwa sauti ya mama'' waacheni watembeeee wakifika mwisho wakusanyike waongee wakimaliza waende nyumbani wakalale'' unategemea nini hapoo?? hamna mvut wa chama wala maandamano
Mvuto? Kapake wanja tukuone...watu wanapigania haki yako wewe unaleta Mvuto?
 
Wabunge wametoroka kuwahi maandamano, noma sana!
 
Baada ya makonda kutoka uenezi wamepata nguvu ya kutembea barabarani
 
Sikuhizi Lissu hashambulii kabisa madili ya watu, ile list ya mafisadi ya pale mwembeyanga sijui wameongezeka au wamepungua au nayeye kaongezeka kwenye hesabu
 
Back
Top Bottom