CHADEMA yafanya Maandamano ya Amani Dodoma yakiongozwa na Tundu Lissu

Mvuto? Kapake wanja tukuone...watu wanapigania haki yako wewe unaleta Mvuto?
 
Wabunge wametoroka kuwahi maandamano, noma sana!
 
Baada ya makonda kutoka uenezi wamepata nguvu ya kutembea barabarani
 
Sikuhizi Lissu hashambulii kabisa madili ya watu, ile list ya mafisadi ya pale mwembeyanga sijui wameongezeka au wamepungua au nayeye kaongezeka kwenye hesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…