CHADEMA yafanya Maandamano ya Amani Dodoma yakiongozwa na Tundu Lissu

Civics ya form 2 kabisa imetufunza kwamba main goal ya any opposition party ni kushinda uchaguzi mbele ya Main party ila kwa haya wanayofanya Chadomo saivi, hata kukaa muelekeo wa ushindani hawapo kwa hayo maandamano.
Ndo nakuambia kama hakina impact kiache wewe fanya ambayo yana impact. Acha wafanye mkuu kwani wamekuzuia kuendelea na majukumu yako?
 
Mkuu hakuna kitu kisicho na impact katika Dunia hii, hata wewe kutokwenda kwako ama kwenda kwenye maandamano kuna impact. Cha msingi acha watu wafanya wafanyacho . Na wewe fanya unachoona kwako kina manufaa .
Anashindwa kuelewa kuwa hata yeye kwa kutumia muda wake kuyajadili hayo maandamano hiyo nayo ni impact ya maandamano yenyewe!
 
Tundu lissu atakamatwa ama kuitwa polisi wakati wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…