CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

Safi chama LA watu wenye akili,

Kuna I'd inajiita "Ccm imara" inapost sana
Propaganda za kizamani, naona wasomaji wengi wameitosa
 
Kwani mwaka 2015 ilikuaje?? Tunamsubiri mtu akatwe kule uli aje huku tuwakomoe.... Mabadilikooooo....?
 
Dr Magufuli
 
Tundulisu anasua sua sababu mipango walio kua wamepanga tayar imesha shtukiwa na njama zao ovu
 
yaani kuna watu wanapenda kuchosha akili kama wewe dada yaani unasema CHADEMA inenda kushinda urais? upi kwanza labda wa TFF tusikubishie sana
 
Inamaana hamjapanga na kumwandaa mgombea wa kumsidikiza jpm katika ushindi wake .chadema unamatatizo gani tuleteeni msindikizaji
We kiazi wakimpanga MTU si mtasema hawana demokrasia, njoja mchujo makini wa kidemokrasia, siyo kama huko kwenu marufuku kugombea na mwenyekiti
 
BM yuko busy na kusaka wajumbe

Kupindua meza
 
ni hivi , Chadema inaenda kushinda urais wa Tanzania octoba 2020 , Liwake jua ama inyeshe mvua , kwa hili naishukuru Kamati Kuu ya Chadema kwa mipango mizito ya ndani na nje .

[emoji115][emoji115][emoji115]

Unajuwa kucheza na akili za misukule yenzako [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Chadema hawana mgombea mpaka sasa

Top leader wake wengi wana kesi

Labda yule Nyalandu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…