Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Atakachoamua Mbowe huna cha kupinga!Membe ni mwanaCCM na atachukua form ya kugombea urais kupitia CCM
Kwani Lowasa alikuwa mwanachadema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakachoamua Mbowe huna cha kupinga!Membe ni mwanaCCM na atachukua form ya kugombea urais kupitia CCM
Safi chama LA watu wenye akili,Baada ya Tangazo la Katibu Mkuu John Mnyika , hii maana yake ni kwamba kipyenga sasa kimepulizwa , labda kwa taarifa tu na hasa kwa wenye ubongo usioelewa haraka kutokana na matatizo ya kuzaliwa ( low score ) , ni hivi , Chadema inaenda kushinda urais wa Tanzania octoba 2020 , Liwake jua ama inyeshe mvua , kwa hili naishukuru Kamati Kuu ya Chadema kwa mipango mizito ya ndani na nje .
Kwahiyo basi unapoweka jina la Mgombea wako unayependekeza ufahamu kwamba unayempendekeza huenda akawa Rais wa Tanzania iwapo chama kitampitisha , hivyo zingatia sana weledi , uungwana , afya ya akili pamoja na Uhusiano mzuri wa kimataifa ( hapa pamejaa mambo yote ikiwemo haki za kikatiba na haki za binadamu )
Karibuni kwa mchakato .
Mbowe
Sugu au Mdee au hata Lema
Dr MagufuliBaada ya Tangazo la Katibu Mkuu John Mnyika , hii maana yake ni kwamba kipyenga sasa kimepulizwa , labda kwa taarifa tu na hasa kwa wenye ubongo usioelewa haraka kutokana na matatizo ya kuzaliwa ( low score ) , ni hivi , Chadema inaenda kushinda urais wa Tanzania octoba 2020 , Liwake jua ama inyeshe mvua , kwa hili naishukuru Kamati Kuu ya Chadema kwa mipango mizito ya ndani na nje .
Kwahiyo basi unapoweka jina la Mgombea wako unayependekeza ufahamu kwamba unayempendekeza huenda akawa Rais wa Tanzania iwapo chama kitampitisha , hivyo zingatia sana weledi , uungwana , afya ya akili pamoja na Uhusiano mzuri wa kimataifa ( hapa pamejaa mambo yote ikiwemo haki za kikatiba na haki za binadamu )
Karibuni kwa mchakato .
Nenda kachukue fomu pale, yule waliemtegemea kaona maji marefu kupambana na daktari katafuta sababu nyingi ili aendele kubaki huko huko.
Chadema huwa hawana mambo mengi sana hasa kama utaweza kuongea vizuri na Mbowe au fanya mawasiliano kwanza na Lowassa kujua kiasi gani kinahitajika kupeperusha bendera.
Huu ndio wakati wa kazi na bata sio kila siku kumtuma mtoto mdogo Zitto kukuongelea. Njoo upambane kianaume uone maana ya mtu kuitwa chuma Magufuli.
yaani kuna watu wanapenda kuchosha akili kama wewe dada yaani unasema CHADEMA inenda kushinda urais? upi kwanza labda wa TFF tusikubishie sanaBaada ya Tangazo la Katibu Mkuu John Mnyika , hii maana yake ni kwamba kipyenga sasa kimepulizwa , labda kwa taarifa tu na hasa kwa wenye ubongo usioelewa haraka kutokana na matatizo ya kuzaliwa ( low score ) , ni hivi , Chadema inaenda kushinda urais wa Tanzania octoba 2020 , Liwake jua ama inyeshe mvua , kwa hili naishukuru Kamati Kuu ya Chadema kwa mipango mizito ya ndani na nje .
Kwahiyo basi unapoweka jina la Mgombea wako unayependekeza ufahamu kwamba unayempendekeza huenda akawa Rais wa Tanzania iwapo chama kitampitisha , hivyo zingatia sana weledi , uungwana , afya ya akili pamoja na Uhusiano mzuri wa kimataifa ( hapa pamejaa mambo yote ikiwemo haki za kikatiba na haki za binadamu )
Karibuni kwa mchakato .
kwani mwaka huu hamtaki waliokatwa mikia?huyu ni mwanachama wa chadema ?
We kiazi wakimpanga MTU si mtasema hawana demokrasia, njoja mchujo makini wa kidemokrasia, siyo kama huko kwenu marufuku kugombea na mwenyekitiInamaana hamjapanga na kumwandaa mgombea wa kumsidikiza jpm katika ushindi wake .chadema unamatatizo gani tuleteeni msindikizaji
CCM mbona mnahofia Membe kukutana na JPM kwenye kura za maoni?Atakachoamua Mbowe huna cha kupinga!
Kwani Lowasa alikuwa mwanachadema?
huyo shoga nani anamtaka sasahivi?Tundu lissu
Wa mtoe wapi? Bado hawajapata wa kuazimwa [emoji23][emoji1787]Inamaana hamjapanga na kumwandaa mgombea wa kumsidikiza jpm katika ushindi wake .chadema unamatatizo gani tuleteeni msindikizaji
Kama lowasaTunamleta kuongezea kura
matusi hayatakusaidia lolotehuyo shoga nani anamtaka sasahivi?