- Thread starter
- #161
Ina maana CCM imejaa makapi.Wanasubiri kapi kutoka CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana CCM imejaa makapi.Wanasubiri kapi kutoka CCM
Pia vya ndoa wanavyo.Vile vingine hawana
Katibu Mkuu wa CHADEMA , John Mnyika atatoa tamko muhimu la Chama kwa umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari, leo Jumatano, Juni 3, 2020.
Je, Atamjibu Msajili wa vyama kuhusu vyama kupeleka ratiba za kampeni ilhali mikutano bado imezuiliwa na haijulikani lini itaruhusiwa.
Je, Ataijibu NEC Taifa kuja na kanuni zake mfukoni, mjawapo ikiwa mawakala kutopewa nakala ya matokeo.
STAY TUNED.
=====
"Bado kuna mwanya katika muda huu wa Bunge uliobakia, upelekwe muswada Bungeni ambao utafanya tupate Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kuhakikisha tunaitoa Ccm madarakani" Katibu Mkuu wa CHADEMA
"Tunatawaka watia nia wa CHADEMA kusoma miongozo vizuri, kuna muongozo mahsusi kabisa toka 2012, wazingatie muongozo katika hatua mbalimbali, wakikiuka Chama hakitasita kuwachukulia hatua,ili kuhakikisha tunapata viongozi walio bora katika Taifa" Katibu Mkuu Nyika.
"CHADEMA kimefungua milango 2 muhimu, kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mlango wa 1; ambao tunaufungua leo ni wa kuruhusu watia nia wa Urais kupitia Chadema na mlango wa 2; ni mlango wa majadiliano na vyama vyenye dhamira ya kweli ya kushirikiana kuitoa Ccm madarakani" Mnyika.
"Tulitaka Tume Huru ya Uchaguzi ili kuwe na uchaguzi huru na wa haki, bado tunasisitiza kwa watawala tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kwa njia nyingine kuhakikisha Ccm wanatoka madarakani, katika wakati muafaka tutawaongoza wananchi kudai haki" Mnyika.
Unafikiri ikulu ni ya Magufuli, hata anayoishi ilijengwa na Wajerumani.Kweli kabisa mnachukua nchi mwaka huu na kwa Sasa rais Magufuli anawajengea bonge la ikulu chamwino keshamwekea rais Mbowe wanyama, ndege tausi nk. Hongrezi chadema kwa kushinda urais 2020-2025.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia kapi ujue kuna kilicho boraIna maana CCM imejaa makapi.
Hehehe watu wamemchoka mzee wa miga
Ndo huo umoja uliwapa kura nyingi na wabunge wengi chadema,kwa kupata kura za CUF,NCCR,NLD na kura za wanachama wa CCM waliokua na mahaba na Edlow.
Kwa sasa never.hakuna tena mbeleko.
hapana Ila anaweza akawa waziri wa nchi tawala za mikoa na serikal za mitaa TAMISEMI.Tuna kusubiri kwa hamu mhe. J J mnyika katibu makini unayetokana na chama makini..kwa jinsi ccm wanavyo muota mnyika kuhamia ccm...cku akihamia watampa urais wa nchi kbs...[emoji1787][emoji1787]
Ww huwa ni kada wa chadema kindaki ndaki..Mkuu tunaendelea kusubiri , ni vizuri ukituonyesha na time tujipange
Thubutu,ni upepo wa Edlow,Maalim,Juma Duni,Mzee kingunge,Mbatia na Sumaye.Kwa sasa hao wote wamesepa kabaki mpiga hela mbowe na shoga zake waropokaji akina MdeeKwa taarifa yako bila hata huo umoja bado cdm ingepata kura nyingi. Hata sasa tume ikifanya inachopaswa kufanya uje ulete mrejesho.
Thubutu,ni upepo wa Edlow,Maalim,Juma Duni,Mzee kingunge,Mbatia na Sumaye.Kwa sasa hao wote wamesepa kabaki mpiga hela mbowe na shoga zake waropokaji akina Mdee
Kuna wanachama na wafuasi wa chama.Kama hao ndio walileta hizo kura wakiwa na miezi miwili ndani ya cdm, je walileta kura na kufungua matawi mangapi ya cdm zaidi ya miaka miwili waliyokaa? Hivi mnadhani hatujui kura za cdm zilitokana na juhudi gani?
Kuna wanachama na wafuasi wa chama.
Kuna mtu anakibeba chama,yani wafuasi wanamfata mtu na sio chama.
kura za lowasa(sio za Chadema)ni milioni 6.wakati wanachama wa chadema hawafiki hata laki 3,mpo wachache sana nyinyi nyumbu.
Hata Mbowe wakati anatoa hotuba ya(kubadili gia angani) kumkaribisha Edlow alizungumzia mtaji wa wafuasi watakao mfuata Edlow CDM.
Lowasa hakuja kufungua matawi wala kujenga chama.Ili ujue ww ni bendera fuata upepo na huna lolote ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani, Lowassa mwenyewe alisema atakuja na wabunge hamsini wa ccm, taja majina ya hao wabunge 50 aliokwenda nao cdm. Narudia tena, kama Lowassa alikuja na kura 6m akiwa na miezi miwili ndani ya cdm, alileta kura au kufungua matawi mangapi, zaidi ya miaka miwili aliyokaa cdm? Mbona chaguzi za marudio zilikuwa zinaporwa wazi wazi, na yeye akiwa cdm asiagize hao watu milioni 6 wafanye jitihada zozote?
Lowasa hakuja kufungua matawi wala kujenga chama.
Lowasa alifata urais.Aliahidi alipokiwa CCM asipopitia mlangoni basi atapitia dirishani lakini lazima aingie ikulu.
Mwaka huu mkipata kura hata milioni moja naacha kuwatafuna.