CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Labda huna habari kuwa mdogo wake lema mgombea ubunge Jimbo la Arusha mjini alikamatwa kwa kujaribu kuingilia mifumo ya kibenki.
 
Good observation (Madame) ...................but its impossible for us to have online vote (president by internet)
Are these online Chadema members?

 
Wewe ni yule asiyejua hiyo lugha uliyoitumia, au kawaajiri wengi wa aina yake, wewe ukiwa mmoja wao?

You simply have no handle to the language.
 
Hivi hao waandishi wa habari hawachoki tu kuwasikiliza maana kila mara tu mnaongea nao na hakuna impact yeyote ya mazungumzo yenu.
Kitendo cha wewe kujua tu kuwa kila mara waandishi wanaenda kusikiliza ujue ndiyo impact yenyewe tunayoitaka
 
Labda huna habari kuwa mdogo wake lema mgombea ubunge Jimbo la Arusha mjini alikamatwa kwa kujaribu kuingilia mifumo ya kibenki.
Ndio huyo mlisema ni muIsrael? Ufala wenu unafika mwisho washenzi wakubwa nyie. Mdogo wake Lema ndiye aliyefanya ujambazi na kuchukua pesa zote kwenye bureau de change zote nchini na ndiye aliyewafilisi wafanyabiashara wote nchini? Ndiye aliyesababisha makampuni binafsi yanauzwa? Nyie subirini tu hizo pesa mtazinya. Mmeshazoea dhuluma, ipo siku yenu yaja.
 
Wataongelea mafanikio yaliyopatikana baada ya Lisu kwenda kununua nyanya kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…