CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Kuanzia leo sinunulii chai haya majitu ya ccm kila siku wananililia njaa halafu leo mnakuja na utumbo nimechukia sana.
 
Hakuna jingine zaidi ya kuwa chadema ilikuwa inatafuta sababu za kutafuta mlango wa kutokea unafikiri bila ya kutumia hiyo trick pesa ya kulipia mawakala ungepatikana wapi ilihali chama hakina hata kumi!

Ni kweli kabisa, kwenye uchaguzi ndio ilipaswa ukweli huo udhihirike. Naona unatoa majibu ya propaganda za kizee ukidhani bado tuna upofu wa hivyo, tulishaamka zamani kweli kweli, na tunajua huu uhayawani unaoendelea sasa hivi nani anauendesha hapa nchini.
 
Mhe. Mbowe anasema kuwa Mkoa wa Dar es Salaam wote wameenguliwa isipokuwa 24 tu, Jiji la Mbeya na Arusha wote wameenguliwa. Kweli?. Kama ni kweli siku ya kura jumla ya watu watakopiga kura hawatafika hata 10% kwa wale watu 19 Millioni waliojiandikisha. Ilikuwa busara wote waingie uwanjaniwote na CCM ingepata 96% kwenye uchaguzi huu. Viongozi mnaosimamia uchaguzi MMEKOSEA SANA. Mtakuja kujuta.
 
Ulitaka wafanye nini?
 
CCM bila ghiliba hawana ubavu wa kuishinda CHADEMA sasa Jafu analilia nini si ndio alichotaka ccm ishinde mitaa yote shindenii roho zinawashutumu maamuzi ya hovyo ya jiwe.
 
Hao walishaambiwa wanawashwa washwa wameamua kujikalia pembeni tu.
 

Unaongea nini, timu yako zaidi ya 80% ya wachezaji wametolewa tena kwa mizengwe na ww lengo lako ni kushinda, unaendelea kushiriki huo mchezo ili nani afurahi kwa mfano? Ukiona mwanaume anashiriki kwenye mchezo wenye uhayawani wa wazi hivyo ujue huyo ni mpuuzi kama mpuuzi mwingine. Acha huyo anayehujumu uchaguzi aendelee na huo uchaguzi ili heshima yake ipande.
 
Mkuu wa nchi ni muoga sana kupambana kwenye uchaguzi.
Historia inaonyesha yeye amepita bila kupingwa ndani ya chama na kwa vyama vyote akiwa mbunge kwa vipindi viwili, hivyo yanayofanyika ni ile mbinu yake ya ushindi aliyoutumia kujipitisha kwa vitisho dhidi ya wenzake. Kama CCM wangejaribu kuruhusu mijadala ya wazi hakika huyu mtu wangemsahau na wimbo wake wa ndege, barabara na reli.
 
Ni sahihi sana kwa uamuzi waliochukua, Hii nchi ilipofikia kuna mifala inajiona kama ya mama zao, time will come wacha washamba watambe kwa sasa their days are numbered! wanafanya mambo ya kipumbaavu sana!
 
Unakenua mijino tu unaona yanayofanyika ni sawa.
Mijitu sampuli yako ndio chanzo cha umasikini nchi hii.
Kama mlitaka kushindana wale watendaji wenu waliofunga ofisi walikuwa wanaenda wapi?
Mmeshindwa kushindana..sasa mnaombea adui mabaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…