CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

huyo hafai abadan ila watu waliomo ndani hawaoni bora akaendelee na kazi yak ya udj
 
Wanasema unajua yaliyompata Ben Saanane!
Huyo jamaa ni kwamba hana uwezo kabisa na ndio maana watu wanashangaa TISS
 
TumainiEl,

Mkuu ni wachache sana wanaweza kuwaza kama wewe. mimi ni ccm lakini hili lililotendwa hakika litatugharimmu ....... napenda watu wanaowaza mbali .barikiwa sana.
 
Mathayo 26: 31

..."Nitampiga Mchungaji na kondoo watatawanyika"

pamoja na yote yaliyotokea, mara zote nasema, Mbowe na baadhi ya viongozi wa upinzani wananufaika sana binafsi wakiwa upinzani. Kwa ufupi ajira ya Mbowe iko pale pale.
Pamoja na madhaifu mengi ya Mbowe, amekiongoza chama kufanya maamuzi sahihi sana jana.

Ya nini kukimbizana na kuumizana kwasababu ya uongozi wa serikali za mitaa?
 
Mitaani wanachadema wanapiga kelele za faulo kuwa Kamati kuu ya chadema imeuza mechi kwa CCM .

Hivi wanamaanisha Nini?
Una ugonjwa uitwao UWAMA yaani Ukosefu Wa Marinda. Swali hili waulize mashost wenzako
 
Usisahau kwamba ukimminya zaidi mtu kwa uonevu unampa mwanya wa kufikiri mbinu mbadala

Tuendako sio kuzuri ni balaa na majanga.
Wajinga wengi hawalioni hili kwa kuwa speed ya kuelekea huko ni ndogo sana kiasi kwamba wanafurahia kucheza mziki huu. :.....Magufuri oyeee......."
 
Tusiseme wapinzani au viongozi wa upinzani bali Watanzania wote wenye dhamira njema ni lazima tuanze kufikiria namna nyingine ya kuondokana na hawa watu dhalimu wanaoliekeza Taifa letu tusikokutaka.

Tuna watawala wa giza wanaotaka kutuelekeza sote gizani. Kwa huu ushetani, hata mwanaCCM mwenye mapenzi mema na Taifa letu, hata askari, hata wahubiri wa dini, na wananchi wote, tukmkatae shetani anayetaka kuliharibu Taifa.

Tuangane sote, kila mmoja kwa namna yake kuhakikisha shetani hashindi. Kutakuwa na gharama, na kila mmoja anene katika nafsi yake, 'nipo tayari kuilipa hiyo gharama'
 
Kwa maslahi ya umma nashauri ushoneshe uniform urudie darasa la tatu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] MaCCM mmepanic baada ya Mbowe kuwatia la kati.
 
Pamoja na madhaifu mengi ya Mbowe, amekiongoza chama kufanya maamuzi sahihi sana jana.

Ya nini kukimbizana na kuumizana kwasababu ya uongozi wa serikali za mitaa?



Nakubaliana na wewe kabisa mkuu, ndio maana nikasema wenye mamlaka walishajua wakimbana yeye wanachama watatawanyika na kukosa uelekeo.

Tukirudi kwenye hili la jana, huo ndio ulikua uamuzi pekee wa kufanya? Wamekua wakifanya hivi mara kadhaa lakini madhambi na hujuma za dola dhidi yao hazitakoma.

Ni wakati nasisitiza amekitoa chama Mbali na hilo tunalithamini lakini nafikiri mawazo na mitazamo mipya inahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…