CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Narudia tena WATANZANIA SI MAJUHA KAMA INAVYODHANIWA.
HIVI NINI KILIWAPELEKA MASOKONI NA KWENYE MADANGURO KUHIMIZA WATU WAJIANDIKISHE KWENYE DAFTARI LA UCHAGUZI SM IKIWA MAHITAJI YA WANANCHI YANATIMIZWA VILIVYO?
HIVI WEWE NA DR. BASHIRU NANI MWENYE UPEO MKUBWA?
 
Ukiona watu hawana habari na uchaguzi tambua kuwa wameridhika na wanaimani na utawala uliopo.
Watu wasipokuwa na imani na utawala ndio utaona wanavyokimbizana na uchaguzi. Mfano halisi Ni uchaguzi wa 2015. Wananchi walichoshwa na utawala uliokuwepo wakajitokeza kwa wingi kupiga kura. Sasa kila kitu kipo shwari Nani apoteze muda wake kwenda kupiga kura? na ili abadilishe nini?
 
Umnyime mtu haki za binadamu maji na barabara yatakuwa na faida gani?
Tanzania hatujawah kuwa na tatizo la haki za binadam Wala democrasia.
Tuna matatizo ya maji, barabara, afya na elimu bora.
Hayo mengine ni matatizo ya wanasiasa sio wananchi. Mwananchi hata tafsiri ya hivyo vitu haijui.
 
Kama hakuna tatizo la la demokrasia kwanini mnawapangia wananchi viongozi wa kuwachagua? Uhuru wa kujieleza uko wapi?
 
Tanzania hatujawah kuwa na tatizo la haki za binadam Wala democrasia.
Tuna matatizo ya maji, barabara, afya na elimu bora.
Hayo mengine ni matatizo ya wanasiasa sio wananchi. Mwananchi hata tafsiri ya hivyo vitu haijui.
Kula tena like ya pili mkuu
 
Anayependwa na kupongezwa mbona anajihami hataki hata kusikia uchaguzi huru, tume huru wala katiba mpya ya wananchi ?!.

Kura zikipigwa halali huyo mtu hana kura. Labda hizi za kulazimisha anazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…