Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Narudia tena WATANZANIA SI MAJUHA KAMA INAVYODHANIWA.Km hayo unayosema Ni haki ya wananchi kweli ngoja tusubiri reaction ya wananchi.
Mwananchi hiyo demokrasia wanayoidai wapinzani haiwahusu na ndio maana unaona hawana habari kama vile hawajui kinachoendelea. Huku mitaani kila mtu pongezi kwa Magufuli.
HIVI NINI KILIWAPELEKA MASOKONI NA KWENYE MADANGURO KUHIMIZA WATU WAJIANDIKISHE KWENYE DAFTARI LA UCHAGUZI SM IKIWA MAHITAJI YA WANANCHI YANATIMIZWA VILIVYO?
HIVI WEWE NA DR. BASHIRU NANI MWENYE UPEO MKUBWA?