CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Bora tuliogomea kwa kutokujiandikisha maana tulikuwa sahihi. Ni vyema tuingie kwenye plan B.
Pamoja na hill mie nawapongeza viongozi wa CDM/ACT kuhamasisha wananchi kujiandikisha na kushiriki. Wangesusia mwanzo wasingeupata uhalisia wa ukweli kama haya yaliyotokea. Huu ndio wakati muafaka . Ushahidi upo wazi wa figisu zote.
 
Wapinzani wa nchi wananichekesha Sana baada ya kuona watashindwa uchaguzi wakaona Bora waokoe gharama. Sasa hivi mmekuwa vyama vya hovyo hamna vision wala mwelekeo hamna msimamo kabisa. Njia pekee ya kushindana na Magufuli ni kwenye kuleta maendeleo kuliko kuleta propaganda kwa bahati mbaya most of them mmeshindwa kufanya vizuri kwenye majimbo yenu.
Mkuu sasa chadema washindane na nani kuleta maendeleo kwani wao ndo wanaokusanya kodi?
 
Upo la saba unaletewa mtihani wa la pili hata ungekua wewe ungefurahi toka mpyoni kabisaaa?
[emoji1787]
Ila inategemea, mtu hujasoma/hamna unalojua, nguvu zote imewekeza kuungia na nondo/desa, na kuangalizia...
Furaha linakuwepo palepale
 
Uwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..

Kila siku huwa unasema una mbinu, ziweke hapa tuzione.
 
Kwani hata kama mngeshiriki mgeshinda? Mmekimbia aibu ambayo mngepata, hamna lolote
Wangeshiriki vipi ilihali wagombea wao wameenguliwa? Unafikiri wangesimamisha kivuli cha Jiwe kipambane na wagombea wenu?
 
Mzunguko mrefu akili kubwa ya mbowe imefanikiwa tatizo ni pesa chama hakina pesa jamani kikitangaza hakuna pesa kitazua ya kuzua na kuanzisha tafrani ni bora hii akili iliyotumiwa..
Kama uchaguzi unaratibiwa na kusimamiwa kwa gharama za serikali, unataka chadema wawe na pesa za nini? Mmepata ulemavu wa akili kwa kuponzwa na matumbo yenu
 
Mbona unaandika kwa kukurupuka, au ndiyo ishu za buku saba? Kwani ukiwa fisiemu lazima uwe mpumbavu?
tukimsema Meko mnatuita vijana wa ufipa tupo kazini, tukimsema DJ mnasema buku saba 😀😀😀

Ebu tulieni sindano iingie DJ kawapiga changa la macho
 
Kumbe lengo la Chama cha Demokrasia na Maendeleo kujitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kutaka kuitwa na Serikali wabembelezwe eti Ndiyo warudi wallahi hii imekula kwenu siyo kwa Dr John Pombe Magufuli.

Mkakati huu umeandaliwa na Umoja wa Ulaya kupitia Ubalozi wao hapa nchini.

Mpango huu wa kujitoa ni Mahususi ili Umoja wa Ulaya ushinikize kufanyika mkutano wa maridhiano kati ya Serikali na vyama vya Upinzani.

Taarifa kutoka ndani Chadema zinadai Mkakati huu ni ilipangwa Maalum kwa ajili ya kujiandaa na Uchaguzi mkuu mwakani na unaratibiwa na mtu moja anayedaiwa ni ndugu wa mmoja wa Viongozi wakuu wa Chadema anayefanya kazi katika moja ya Balozi katika nchi za Magharibi.

Kosa ambalo serikali imefanya kwa Muda mrefu ni kuwadekeza na kuwapendelea vyama vya Upinzani kiasi kwamba wakajiona ni haki yao kutozingatia sheria na Kanuni.

Wamekuwa wakifanya makosa ya makusudi kabisa Hivi inaingiaje akilini chama cha siasa kukaa na Viongozi wakuu wa kukaimu kwa Muda wa miaka mitatu bila kufanya Uchaguzi ndani ya chama chao.

Inaingiaje akilini chama kinachojidai kuwa ni chama kikuu cha Upinzani kinashindwa hata kutoa ratiba ya Uchaguzi ndani ya chama pamoja na Msajili kuwaandikia barua ya kuwakumbusha kufanya Uchaguzi kwa mujibu wa sheria ya Vyama lakini bado wanakuja na porojo kuwa wanaonewa.

Akili yao wanadhani wakifutwa wanachafua nchi Kimataifa eti huo Ndiyo Mkakati wao wa Kisiasa.

Wakiambiwa Dr Wilbroad Peter Silaa ndiye alikuwa kamusi ya chama wananuna.

Tunawaambia TRAIN IKIONDOKA HAIRUDI RIVASI KAZI YA MWANAUME HAPEWI MVULANA.
 
Kuna jamaa emeniambia waache kulalamika Misitu si ipo?Sijamuelewa.
Pamoja na hill mie nawapongeza viongozi wa CDM/ACT kuhamasisha wananchi kujiandikisha na kushiriki. Wangesusia mwanzo wasingeupata uhalisia wa ukweli kama haya yaliyotokea. Huu ndio wakati muafaka . Ushahidi upo wazi wa figisu zote.
 
Kumbe lengo la Chama cha Demokrasia na Maendeleo kujitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kutaka kuitwa na serikali wabembelezwe eti Ndiyo warudi wallahi hii imekula kwenu siyo kwa Dr John Pombe Magufuli.
Mkakati huu umeandaliwa na Umoja wa Ulaya kupitia Ubalozi wao hapa nchini.
Mpango huu wa kujitoa ni Mahususi ili Umoja wa Ulaya ushinikize kufanyika mkutano wa maridhiano kati ya Serikali na vyama vya Upinzani.

Taarifa kutoka ndani Chadema zinadai Mkakati huu ni ilipangwa Maalum kwa ajili ya kujiandaa na Uchaguzi mkuu mwakani na unaratibiwa na mtu moja anayedaiwa ni ndugu wa mmoja wa Viongozi wakuu wa Chadema anayefanya kazi katika moja ya Balozi katika nchi za Magharibi.

Kosa ambalo serikali imefanya kwa Muda mrefu ni kuwadekeza na kuwapendelea vyama vya Upinzani kiasi kwamba wakajiona ni haki yao kutozingatia sheria na Kanuni.

Wamekuwa wakifanya makosa ya makusudi kabisa Hivi inaingiaje akilini chama cha siasa kukaa na Viongozi wakuu wa kukaimu kwa Muda wa miaka mitatu bila kufanya Uchaguzi ndani ya chama chao.
Inaingiaje akilini chama kinachojidai kuwa ni chama kikuu cha Upinzani kinashindwa hata kutoa ratiba ya Uchaguzi ndani ya chama pamoja na Msajili kuwaandikia barua ya kuwakumbusha kufanya Uchaguzi kwa mujibu wa sheria ya Vyama lakini bado wanakuja na porojo kuwa wanaonewa.

Akili yao wanadhani wakifutwa wanachafua nchi Kimataifa eti huo Ndiyo Mkakati wao wa Kisiasa.
Wakiambiwa Dr Wilbroad Peter Silaa ndiye alikuwa kamusi ya chama wananuna.
Tunawaambia TRAIN IKIONDOKA HAIRUDI RIVASI KAZI YA MWANAUME HAPEWI MVULANA.
Pumbavu takataka
 
Kwanini mnateseka chadema kujitoa badala ya nyinyi kushangilia ushindi WA kishindo?
 
Sasa mnapata tabu ya nini si mmepata mlichokuwa mnataka. Mtashinda kwa 99.8%
 
Kumbe lengo la Chama cha Demokrasia na Maendeleo kujitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kutaka kuitwa na serikali wabembelezwe eti Ndiyo warudi wallahi hii imekula kwenu siyo kwa Dr John Pombe Magufuli.
Mkakati huu umeandaliwa na Umoja wa Ulaya kupitia Ubalozi wao hapa nchini.
Mpango huu wa kujitoa ni Mahususi ili Umoja wa Ulaya ushinikize kufanyika mkutano wa maridhiano kati ya Serikali na vyama vya Upinzani.

Taarifa kutoka ndani Chadema zinadai Mkakati huu ni ilipangwa Maalum kwa ajili ya kujiandaa na Uchaguzi mkuu mwakani na unaratibiwa na mtu moja anayedaiwa ni ndugu wa mmoja wa Viongozi wakuu wa Chadema anayefanya kazi katika moja ya Balozi katika nchi za Magharibi.

Kosa ambalo serikali imefanya kwa Muda mrefu ni kuwadekeza na kuwapendelea vyama vya Upinzani kiasi kwamba wakajiona ni haki yao kutozingatia sheria na Kanuni.

Wamekuwa wakifanya makosa ya makusudi kabisa Hivi inaingiaje akilini chama cha siasa kukaa na Viongozi wakuu wa kukaimu kwa Muda wa miaka mitatu bila kufanya Uchaguzi ndani ya chama chao.
Inaingiaje akilini chama kinachojidai kuwa ni chama kikuu cha Upinzani kinashindwa hata kutoa ratiba ya Uchaguzi ndani ya chama pamoja na Msajili kuwaandikia barua ya kuwakumbusha kufanya Uchaguzi kwa mujibu wa sheria ya Vyama lakini bado wanakuja na porojo kuwa wanaonewa.

Akili yao wanadhani wakifutwa wanachafua nchi Kimataifa eti huo Ndiyo Mkakati wao wa Kisiasa.
Wakiambiwa Dr Wilbroad Peter Silaa ndiye alikuwa kamusi ya chama wananuna.
Tunawaambia TRAIN IKIONDOKA HAIRUDI RIVASI KAZI YA MWANAUME HAPEWI MVULANA.
Nashangaa mwisho unakuja upesi hivi....
 
Back
Top Bottom