Mbona nyie mabasha zenu ndio wanawapa kiburi cha kunajisi uchaguzi na tunawacheck tu?Mbona mna mabasha zenu wa Ulaya wanawafadhili ndio chanzo Cha mapovu ya kibaraka Lisu baada ya kuulizwa na Balile ππ
Na matumizi ya hizo fedha yawe wazi pia, siyo mnakwenda kula bata na vimada vyenuNaibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE
Soma, Pia
Ni jambo jema. Lakini ingesaidia kama wangeweka lengo la zoezi zima. K.m. kiasi gani kinahitajika kuendesha shughuli za chama kwa mwaka au mwezi. Na kiasi gani wanapokea kama ruzuku. Ili kukata mizizi ya fitna itakuwa vyema kama watatoa pia taarifa ya matumizi.Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE
Soma, Pia
Kina nani hao?Mbona nyie mabasha zenu ndio wanawapa kiburi cha kunajisi uchaguzi na tunawacheck tu?
Umeongea sahihiNi jambo jema. Lakini ingesaidia kama wangeweka lengo la zoezi zima. K.m. kiasi gani kinahitajika kuendesha shughuli za chama kwa mwaka au mwezi. Na kiasi gani wanapokea kama ruzuku. Ili kukata mizizi ya fitna itakuwa vyema kama watatoa pia taarifa ya matumizi.
Amandla...
Nyie wake zao.Kina nani hao?
Hamna kitu nyie njaa Kali.Nyie wake zao.
Sawa nyie wenye shibe ya hela za wanaume.Hamna kitu nyie njaa Kali.
Lissu ameshafeli tayari,mimi sifi kwapreshalabda ugonjwa mwingine,na sio leo wala keshoKwa muda mfupi walioanza, na changamoto walizokutana nazo tunaweza kusema wameanza vizuri sana. Bado tunaendelea kuchanga kila mwezi. Najua wewe unasubiri kwa hamu Lissu afeli lakini Mungu alivyo mkubwa si ajabu wewe ndiye utakayekufa kwa pressure mwaka huu.
Ilikuwa ni mikopo yenye riba isioeleweka kutoka kwa Mwamba.Hapo awali haikuwa rahisi kupewa taarifa za mapato na matumizi.
Mwanzo mzuri.
Kwa dhana hii,geuza huu wastani ziwe ndio kura then weka tafsiri yake.Watanzania tuko milioni 64 na imepayikana milioni 64 ina maana kila mtanzania kachangia shilingi
Haya. subiri uone.Lissu ameshafeli tayari,mimi sifi kwapreshalabda ugonjwa mwingine,na sio leo wala kesho
Sio ndogo hata hiyo shilingi moja, tumeonesha mwanzo mwema.Mshahara wa CEO wa Vodavom wa mwezi mmoja.
Tundu Lissu atakufa kwa presha,kuendesha vyama kunataka hela
Watanzania tuko milioni 64 na imepayikana milioni 64 ina maana kila mtanzania kachangia shilingi moja