Pre GE2025 CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone

Pre GE2025 CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona mna mabasha zenu wa Ulaya wanawafadhili ndio chanzo Cha mapovu ya kibaraka Lisu baada ya kuulizwa na Balile 😆😆
Mbona nyie mabasha zenu ndio wanawapa kiburi cha kunajisi uchaguzi na tunawacheck tu?
 
Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE

Soma, Pia
Na matumizi ya hizo fedha yawe wazi pia, siyo mnakwenda kula bata na vimada vyenu
 
Hongereni sana👏👏👏

Kwa kuanzia sio mbaya, wajitahidi kuendelea kuhamasisha wadau wengi zaidi.

Kwa namna huyu Aman Golukwa anavyoongea, kwa sehemu amefanana na Profesa Kitila Mkumbo

Ukiwa unawasikiliza, Wana tone Moja inayofanana
 
Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka tarehe 1 Machi, amesema jumla ya TSh. Milioni 64,315, 150 ilikuwa imepatikana kupitia TONE TONE

Soma, Pia
Ni jambo jema. Lakini ingesaidia kama wangeweka lengo la zoezi zima. K.m. kiasi gani kinahitajika kuendesha shughuli za chama kwa mwaka au mwezi. Na kiasi gani wanapokea kama ruzuku. Ili kukata mizizi ya fitna itakuwa vyema kama watatoa pia taarifa ya matumizi.

Amandla...
 
Umeongea sahihi

Kwa kufanya hivyo, itawasaidia kuset goals na kuondoa sintofahamu Kwa baadaye
 
Kwa muda mfupi walioanza, na changamoto walizokutana nazo tunaweza kusema wameanza vizuri sana. Bado tunaendelea kuchanga kila mwezi. Najua wewe unasubiri kwa hamu Lissu afeli lakini Mungu alivyo mkubwa si ajabu wewe ndiye utakayekufa kwa pressure mwaka huu.
Lissu ameshafeli tayari,mimi sifi kwapreshalabda ugonjwa mwingine,na sio leo wala kesho
 
Ndani ya mwezi itafikia 150 Mills miezi sita tutakuwa mbali.

Mungu wabariki wachangiaji.
 
🤣🤣🤣 chama kimeshakufa hiki. Million64 hata kampeni ya kata za mjini huwezi kuendesha. Ndio maana hawataki uchaguzi wanaojua wataumbuka vibaya. CCM aliyekuwa anatusumbua ni mbowe tu hawa waropokaji hawana uwezo wa kuendesha chama cha kisiasa. Wanameigeuza chadema kuwa kama kikundi cha mungiki.
 
- Shida za wakulima vipi Mzee?
No reforms no election
-
Matatizo ya wafanyakazi
No reforms no election
- Changamoto za kiafya Mzee
No reforms no election
- Changamoto za maji na UMEME
No reforms no election
 
Mshahara wa CEO wa Vodavom wa mwezi mmoja.
Tundu Lissu atakufa kwa presha,kuendesha vyama kunataka hela
Watanzania tuko milioni 64 na imepayikana milioni 64 ina maana kila mtanzania kachangia shilingi moja
Sio ndogo hata hiyo shilingi moja, tumeonesha mwanzo mwema.
 
Chadema inapokea ruzuku milioni 100 kwa mwezi.

Tone tone ndani ya siku tatu milioni 64. Tukifanikiwa kuchangia kila mwezi milioni 100 tutakuwa tumeongeza uwezo wa chadema mara mbili.

Bado pia hizo juhudi zitaleta ada ya wanachama.
Chadema ikiwa na milioni 300 kwa mwezi itafanya kazi kubwa sana.
 
Ninataka kuwachangia Tshs.5,000 kwa Mpesa. Nimefuata utaratibu mpaka kipengele cha tarehe ilivyoandikwa ddMMyyy mimi nimeandika 3.3.2025 muamala wangu ukqkataa. Naomba msaada wenu.
 
Back
Top Bottom