CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

CHADEMA yampa siku tatu Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa awe amewajibika

Majaliwa siyo project ya CHADEMA. CHADEMA Covid-19 wamewashinda, mna dandia ya CCM
 
Presentation ni art.

Nadhani pana haja ya kuwachagua vyema wasilisha mada.

Tunahitaji watu wa ku maintain momentum. Tunawahitaji kina Raila. Hao wapo. Tuwatumie.

Suala la chief strategist si suala la kupuuzia.

Siasa ni sayansi.
swadakta
 
Mh. Majaliwa wanamuonea tu.

Mamlaka ya Uteuzi na Uwajibishaji inatakiwa iwajibike.


Hapa CHADEMA wasizunguke Mbuyu.
wameshapewa na kipara milion 65 mashambulizi kuhusu riport ya CAG mashambulizi yasimlenge yeye kwa hiyo zigo wanamwangushia waziri mkuu
 
Naona Ukinzani na hili jambo.....nisiseme sana, picha inajieleza....Unafikiri Mzee wetu J.MK anatuhabarisha nini hapa
fb_img_1680258242993-jpg.2572153
Ndio eti mama anaponya nchi
 
Wivu wa kike tuu huu ivi ni kweli hamjui specific people wa kujiuzuru mpaka muumtaje PM kweli?
Wakati report ya CAG iko straight forward to taasisi na viongozi wake kabisa
 
Aiseee basi sawa........ila Kwa style hii hatuwezi kuendelea maana wanaadress tatizo Kwa wrong person........kwani mamlaka ya uteuzi si ipo au vikombe vya kahawa vinawapofusha macho........?
 
Kinondoni iko nje ya jiji la Dar?
Nilitegemea swali hili , lakini nadhani hufuatilii mambo , Serikali ya Tanzania chini ya Rais mwenye maono kuliko wote Duniani Dr Magufuli ilifuta mipaka ya awali ya Jiji la DSM na kulihamishia manispaa ya Ilala , yaani Pugu kajiungeni ni Jijini lakini Masaki , kinondoni Mikocheni na Mbezi Beach ni nje ya Jiji .

Hata baada ya Kuingia Samia hakubadilisha jambo hili , bado liko kama lilivyokuwa
 
Aiseee basi sawa........ila Kwa style hii hatuwezi kuendelea maana wanaadress tatizo Kwa wrong person........kwani mamlaka ya uteuzi si ipo au vikombe vya kahawa vinawapofusha macho........?
unayafahamu majukumu ya Waziri Mkuu?
 
Back
Top Bottom