johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maendeleo hayana vyama!Wakuu nimepita hapa mlimani City muda huu naona Polisi na wanachama wa Chadema wanazozana ila naona kimtindo bendera zinashushwa na hao hao Polisi.
#Wenyeviti wa CCM wajao baada ya kustaafu ukamanda.
Bora nibaki mpaganiHalafu dini inakuambia kuwa kila kiongozi hutoka kwa Mungu!
Hiyo ndiyo kipaumbele cha taifa letu.Wakuu nimepita hapa mlimani City muda huu naona Polisi na wanachama wa Chadema wanazozana ila naona kimtindo bendera zinashushwa na hao hao Polisi.
#Wenyeviti wa CCM wajao baada ya kustaafu ukamanda.
CHADEMA ni wadhaifu mno yaani bendera zimeshushwa wanaangalia tu,
Simba na Yanga wakicheza tunaona bendera zao mji mzima, je na wao wanataka kuligeuza jiji la kibiashara kuwa la michezo?
Wangetakiwa kulipia uwezi ukafika sehem yoyote tu ukajiwekea vitu tu bila kujua hii sehemu mmiliki ni nani au Taasisi gani kila eneo lina milikiwa na serikali au Taasisi binafsi, au Mtu binafsi
Kwaiyo chadema wawe wanafata sheria za nchi, isiwe wanakurupuka tu
Nakupanga bendera bila utaratibu, Rais alisemaga wamachinga wasibunguziwe wafanye biashara popote pale lakini lazima walipie kitambulisho cha mmachinga elf20,
Sasa wao chadema wanapanga mabendera barabarani je wamekuwa wamachinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiko kitu huwa napingana nacho hv mfano jiwe, ndugai n the likes wametoka kwa mungu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app