CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

WaLituchafulia Mji wa Mlimanii na MaBendera yao..

Tunashukuru sana Mkurugenzii Beatrice kwakuimulika hii Kero
 
Je, chadema wamepigwa faini? Wawapige faini wasipolipa tuwakate kutoka kwenye ruzuku yetu tunayowapa.
 
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni kweli hii sio sawa kabisa, kwa sababu hakuna sheria yoyote ya nchi iliyovunjwa hapo nadhani mkurugenzi katelezakaka hili.
 
#NoHateNoFear
IMG_20191217_195507.jpeg
IMG_20191217_195455.jpeg
IMG_20191217_153845.jpeg
IMG_20191217_151849.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipita juzi jioni wakati naenda mkoa, niliporudi Jana usiku wa manane nikazikutatena.
Nikamuambia wife kwa utani, nikajifanya kama babalao nikasema, yanibendera zinazagaa mitaani na mkurugenzi upo, mkuu wa mkoa upo, hiiiiii wife akachekasana ingawa alikuwa amechoka na safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiji liko chini ya chadema wao ndio wasimamizi wa Sheria za matangazo .Walitakiwa walipe kwanza jiji ndio waweke matangazo yao
Polisi wako sahihi.
 
Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic  amekiandikia barua chama cha ( 640 X 640 ).jpg


Huyu Mheshimiwa anaitwa Beatrice Dominic, ameingia kwenye rada zetu baada ya kufanya kituko cha kuamuru kushusha bendera za CHADEMA zilizowekwa kwenye maeneo ya Mlimani City kunakofanyika Mkutano mkubwa wa uchaguzi wa chama hicho, kama walivyo watumishi wengine wa Umma tunapaswa kuufahamu wasifu wake, ni wapi aliposoma, alisoma shule gani, alisomea nini, mahali pengine alipofanya kazi, alikuwa na cheo gani, uaminifu wake pote alipopita na mengine mengi ambayo mtumishi wa umma anapaswa kuwa nayo.

Lengo kuu la kutaka kumfahamu ni kuweka kumbukumbu sawa kwa ajili ya vizazi vijavyo
 
Kuna mtu aliwahi kusema, " I suppose it is tempting, if the only tool you have is a hammer, to treat everything as if it were a nail"
Kutumia manguvu mengi hata kwa mambo ya kijinga jinga tu. Aisee miafrika! Ovyo sana.
 
Kama ndio hivi basi aliyetakiwa kutoa tangazo la kuzishusha ni hao wahusika uliowataja, wote hao (Tanroad na Tarura) hawako chini ya DED
Sheria za matangazo msimamizi Ni jiji ambalo meya wake Ni wa chadema.Meya wao alitakiwa ahakikishe chadema wamelipa akajikausha kimya akafikiri hakuna atakayeyeona huo ukiukwaji
 
Kwani mtu akiweka bendera sehemu anatakiwa kulipia kama matangazo mengine?
Jiji liko chini ya chadema wao ndio wasimamizi wa Sheria za matangazo .Walitakiwa walipe kwanza jiji ndio waweke matangazo yao
Polisi wako sahihi.

Sent using my 6x6 bed.
 
Back
Top Bottom