Dereva wa Kirikuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 751
- 624
WaLituchafulia Mji wa Mlimanii na MaBendera yao..
Tunashukuru sana Mkurugenzii Beatrice kwakuimulika hii Kero
Tunashukuru sana Mkurugenzii Beatrice kwakuimulika hii Kero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni kweli hii sio sawa kabisa, kwa sababu hakuna sheria yoyote ya nchi iliyovunjwa hapo nadhani mkurugenzi katelezakaka hili.Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
We Dada una gubu kama mama mjamzito, au mmeo akutosheleziiii?Je, chadema wamepigwa faini? Wawapige faini wasipolipa tuwakate kutoka kwenye ruzuku yetu tunayowapa.
Kufahamu wasifu wa mtumishi halali wa umma hakujawahi kuwa mashambulizi hata mara mojaKumshambulia mama mtu mzima km huyo ni kujitakia balaa tu
Mimi najitenga hapo
Tuwaheshimu mama zetu
Sijawahi kuwachukia watu wanaotumwaKama nakuona ulivyo na hasira nae! Haaa haaa haaa siasa bwana hatari sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
asanteMumewe mume wake jamaa yangu nitafikisha salam
Tuna haki ya kujua wasifu wakeKumshambulia mama mtu mzima km huyo ni kujitakia balaa tu
Mimi najitenga hapo
Tuwaheshimu mama zetu
Sheria za matangazo msimamizi Ni jiji ambalo meya wake Ni wa chadema.Meya wao alitakiwa ahakikishe chadema wamelipa akajikausha kimya akafikiri hakuna atakayeyeona huo ukiukwajiKama ndio hivi basi aliyetakiwa kutoa tangazo la kuzishusha ni hao wahusika uliowataja, wote hao (Tanroad na Tarura) hawako chini ya DED
Jiji liko chini ya chadema wao ndio wasimamizi wa Sheria za matangazo .Walitakiwa walipe kwanza jiji ndio waweke matangazo yao
Polisi wako sahihi.