Wangetakiwa kulipia uwezi ukafika sehem yoyote tu ukajiwekea vitu tu bila kujua hii sehemu mmiliki ni nani au Taasisi gani kila eneo lina milikiwa na serikali au Taasisi binafsi, au Mtu binafsi
Kwaiyo chadema wawe wanafata sheria za nchi, isiwe wanakurupuka tu
Nakupanga bendera bila utaratibu, Rais alisemaga wamachinga wasibunguziwe wafanye biashara popote pale lakini lazima walipie kitambulisho cha mmachinga elf20,
Sasa wao chadema wanapanga mabendera barabarani je wamekuwa wamachinga?
Sent using
Jamii Forums mobile app