Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kama CCM mnapendwa sana na wananchi Kwa sababu ya kazi zenu nzuri za kuleta maendeleo, na mmepata ushindi wa kishindo juzi, kinachiwasumbua ni kitugani? Mnaziogopaje bendera za Chadema ambayo hata kitu kimoja cha Serikali za mitaa hawakupata?Chadema walifikili mlimani city ni ufipa watajuta sana
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali yetu ikiona zile "RANGI" tu za bendera za upinzani, hawalali, presha na jasho linawatoka kama wanataka kukatwa "JANDO" bila ganzi.
Ndiyo maana alivyohutubia Jiwe kwenye ziara zake kule kanda ya Ziwa,alisema kuwa yeye anawateua kwenye nafasi zake za uteuzi "vichaa" wenzie!Kwa vyovyote huyu DED ana baraka zote za wakubwa wake, CDM kamwe msijibu ujinga huu wa kipambuvu kwa upumbavu bali busara ziendelee kuwatawalakama kawaida yenu. No hate no fear
Sasa Kama kapewa maagizo toka Juu ulitegemea asitekeleze? Mfano akaagizwa na mkuu wa Mkoa unatarajia nini? Kuna wakubwa wanawatumia wadogo kuumiza raia na Kwa mujibu wa mfumo wa nchi unapaswa uitie ndio mkuuu ndio mkuu akikata Simu unanyanyua Simu yako unaaanza kukusanya watekelezaji ndiko tuliko fika Kwa sasaAsilimia zaidi ya 90, ya wateule wa baba Jesca wameshajua baba J anataka nini.. Kwa tamko la Mkurugenzi awamu hii tayari amejijengea mazingira ya kupandishwa cheo. Na msishangae soon akapandishwa cheo. Kwani mtu tulie nae ni wa ajabu sana.
Uzi tayari....
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio hao haoMabeberu si ndio wanaotengeneza Ndege za CCM huko CANADA mkuu?
Na kweli!Mkuu acha kunishangaza, uliwahi kuona mwanamama mwana ccm asiye na sura ngumu?
Ukiona au kubahatika kumpata wa hivyo ujue ameingia humu sio kiutendaji bali kimkakati ili wazee waendelee "kukitumikia chama bila uchovu"
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo mburura:kajivunze ndo niniKajivunze kuandika kwanza mburura wewe!
Hata mie nlitaka kusema hivo hivyooooo.........Ni mchawi na anaonekana mchafu mchafu hivi.
Matangazo yote yanatakiwa kulipiwa Manispaa yawe ya Chama au la. Ubungo meya ni CHADEMA kazi yake mmojawapo Ni kuhakikisha Manispaa inapata mapato yake.Hapo msajili atakuwa kiiimya kabisa
Kajivunze ndo nini, we mpuziKajivunze kuandika kwanza mburura wewe!
Hivi wapinzani wakiidai kuwa nchi hii inaendeshwa kidikteta, watakuwa wanakosea kweli?Mkuu kitendo chochote ambacho hakiwezi kufanywa kwa tawala ukikifanya kwa upinzani ni point za kukuweka salama katika kiti ulichonacho. Mifano ipi mingi tu!! Fungua macho uyaone!! Wala usingepata tabu kumpangia cha kufanya! Hapangiwiiii iiiiii
Bendera zinatakiwa ziwe mahali kisheria.hixo hazikuwrpo kisheria kwani hawakulipia gharama za matangazo Manispaa Kama Sheria za jjiji lao ambalo liko chini ya chadema zinavyosema.Kuwa kila tangazo litalipiwa jijiKitendo cha kung'oa bendera za chama kilichoandikishwa kihalali nchini ni kosa la jinai, ambalo mhusika anaweza hata akafungwa jela