CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

Kufahamu wasifu wa mtumishi halali wa umma hakujawahi kuwa mashambulizi hata mara moja
huyu ni mama ambaye anabusara bza hali ya juu huwezi kuchafua jiji na mabendera yako ya kihuni barabarani wakaweke ofisini kwa huko huu siyo utawala wao
 
Hivi wapinzani wakiidai kuwa nchi hii inaendeshwa kidikteta, watakuwa wanakosea kweli?
Wao chadema ndio madikteta kwa kuweka bendera kwa nguvu mitaani bila kulipia Manispaa.Ndio maana polisi ilibidi watumike kuondoa kwa nguvu matangazo yaliyowekwa kwa nguvu bila kufuata sheria.Tiini Sheria bila shuruti
 
Walitaka kudanganya wazungu waonekane pale ndio.makao makuu yao Cha Chama kuficha aibu ya like Banda lao la kuku pale ufipa kinonfoni kujionyesha wao matawi ya juu wakati wanalala Banda la kuku
naona unajitekenya na kucheka mwenyewe, ila kwa ufupi tambua kwamba wewe ni mpumbavu mno! Huna akili mkuu,nawasikitikia sana watu wako wa karibu,inaonesha wanapata shida sana sema tu hawakuambii. BADILIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kungoa Bendera za chama ni dalili za UDHAIFU mkubwa kwa kifikra!!
 
Mwanza majuzi CCM wamefanya kikao cha NEC tuu, lakini tumeona picha za bendera kutundikwa kila mahali. Kwenye madaraja, barabarani hadi vyoo vya stend.
Lakini sio jiji au polisi walio shughulika, why Chadema?
#Nohate#Nofear

Sent using Jamii Forums mobile app
Halmashauri walilipwa Chao na nyie kalipeni
 
Nimuulize huyo DED hivi angeweza kutoa agizo la aina hiyo iwapo katika ukumbi huo ungekuwa unafanyika mkutano wowote wa CCM?

Ni dhahiri kuwa kitendo akichokifanya DED huyo ni uvunjaji wa waziwazi wa Katiba ya nchi yetu, ambayo inaeleza waziwazi kuwa nchi yetu itaendeshwa kwa kidemokrasia na ni ya mfumo wa vyama vingi.

Kwa sababu Meya wa Ubungo ni Boniface (Chadema) na kama kweli amevunja Sheria na Katiba ya nchi, basi nahakika akirudi ofisini atamchukulia hatua.

Hata hivyo tusahihishe, Bendera zilizoondolewa si zilizoko ukumbini bali zilizotundikwa kwenye hifadhi ya barabara ya Sam Nujoma. Najua ndani ya halmashauri za miji kuna sheria inayosimamia matangazo yanayowekwa ktk barabara zao, ambapo kibali chake kinatolewa kwa malipo katika halmashauri husika. Mheshimiwa Meya Boniface atatutolea ufafanuzi baada ya barua iliyotoa masaa mawili ama wafuate sheria waliitimiza matakwa hayo?
 
Hivi wapinzani wakiidai kuwa nchi hii inaendeshwa kidikteta, watakuwa wanakosea kweli?
Bendera zinatakiwa ziwe mahali kisheria.hixo hazikuwrpo kisheria kwani hawakulipia gharama za matangazo Manispaa Kama Sheria za jjiji lao ambalo liko chini ya chadema zinavyosema.Kuwa kila tangazo litalipiwa jiji
Ngoja nikuulize swali dogo tu wewe kada wa hali Lumumba.

Hivi sheria hizo zinatekelezwa kwa chama kikuu cha upinzani cha Chadema peke yake na hazitekelszwi wakati Chama chenu cha CCM kikifanya mikutano yake!

Hata hivyo ni bora mkaanikwa hadharani duniani namna mnavyominya Demokrasia nchini, kwa kuwa vyombo vya habari vya kimataifa vya CNN na BBC vitafanya coverage ya mkutano huo
 
Kwa sababu Meya wa Ubungo ni Boniface (Chadema) na kama kweli amevunja Sheria na Katiba ya nchi, basi nahakika akirudi ofisini atamchukulia hatua.

Hata hivyo tusahihishe, Bendera zilizoondolewa si zilizoko ukumbini bali zilizotundikwa kwenye hifadhi ya barabara ya Sam Nujoma. Najua ndani ya halmashauri za miji kuna sheria inayosimamia matangazo yanayowekwa ktk barabara zao, ambapo kibali chake kinatolewa kwa malipo katika halmashauri husika. Mheshimiwa Meya Boniface atatutolea ufafanuzi baada ya barua iliyotoa masaa mawili ama wafuate sheria waliitimiza matakwa hayo?
Tumekuwa tukishuhudia wakati wa vikao vya CCM bendera zikitundikwa hata "vyooni" mbona hatujawahi ona maagizo ya aina hiyo ya kuzishusha bendera zao kwa masaa mawili?

Tunaomba pia utujulishe je uwepo wa Chadema siyo halali kwa mujibu wa msajili wa vyama vya kisiasa nchini?

Lakini mnachoshau nyinyi CCM ni kuwa hakuna chenye mwanzo hapa duniani kikakosa kuwa na mwisho!
 
Niliwahi kusema muda sana na nimekuwa nikisema, jiwe anawaonea wivu cdm kwa jinsi wanavyokubalika na wananchi, na ndio sababu hasa amepiga marufuku vyama vya siasa kufanya kazi za siasa nchi nzima kwani anajua fika cdm wanakubalika, na hilo linamuumiza sana roho yake. Alitamani jinsi cdm inavyokubalika ndio iwe yeye na ccm. Namna pekee ameami kutumia nguvu kubwa na uonevu wa wazi dhidi ya cdm, akidhani akiiua cdm basi automatically watu wataipenda ccm, kitu ambacho hakiwezekani.
Mkuu naona unataka kutuaminisha kwamba chadema wana wanachama wengi kuliko chama chochote kile...Hongera
 
Mkuu naona unataka kutuaminisha kwamba chadema wana wanachama wengi kuliko chama chochote kile...Hongera

Kwa taarifa yako wanachama sio issue sana, cha muhimu ni imani ya wananchi kwa cdm.
 
MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA ALITAKIWA ALISEMEE HILI.
 
Back
Top Bottom