huyu ni mama ambaye anabusara bza hali ya juu huwezi kuchafua jiji na mabendera yako ya kihuni barabarani wakaweke ofisini kwa huko huu siyo utawala waoKufahamu wasifu wa mtumishi halali wa umma hakujawahi kuwa mashambulizi hata mara moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu ni mama ambaye anabusara bza hali ya juu huwezi kuchafua jiji na mabendera yako ya kihuni barabarani wakaweke ofisini kwa huko huu siyo utawala waoKufahamu wasifu wa mtumishi halali wa umma hakujawahi kuwa mashambulizi hata mara moja
Wao chadema ndio madikteta kwa kuweka bendera kwa nguvu mitaani bila kulipia Manispaa.Ndio maana polisi ilibidi watumike kuondoa kwa nguvu matangazo yaliyowekwa kwa nguvu bila kufuata sheria.Tiini Sheria bila shurutiHivi wapinzani wakiidai kuwa nchi hii inaendeshwa kidikteta, watakuwa wanakosea kweli?
Walitaka kudanganya wazungu waonekane pale ndio.makao makuu yao Cha Chama kuficha aibu ya like Banda lao la kuku pale ufipa kinonfoni kujionyesha wao matawi ya juu wakati wanalala Banda la kukuChadema walifikili mlimani city ni ufipa watajuta sana
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
naona unajitekenya na kucheka mwenyewe, ila kwa ufupi tambua kwamba wewe ni mpumbavu mno! Huna akili mkuu,nawasikitikia sana watu wako wa karibu,inaonesha wanapata shida sana sema tu hawakuambii. BADILIKAWalitaka kudanganya wazungu waonekane pale ndio.makao makuu yao Cha Chama kuficha aibu ya like Banda lao la kuku pale ufipa kinonfoni kujionyesha wao matawi ya juu wakati wanalala Banda la kuku
Sasa kama mwenyekiti wa chama chao mwenyewe alisema hivyo, hawa mbulula wa JF na wanaccm wenyewe kwa ujumla wana lipi zaidi ya hiyo kauli rasmi ya chama?
Nyanganyeni na ukumbi basiChadema walifikili mlimani city ni ufipa watajuta sana
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Halmashauri walilipwa Chao na nyie kalipeniMwanza majuzi CCM wamefanya kikao cha NEC tuu, lakini tumeona picha za bendera kutundikwa kila mahali. Kwenye madaraja, barabarani hadi vyoo vya stend.
Lakini sio jiji au polisi walio shughulika, why Chadema?
#Nohate#Nofear
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimuulize huyo DED hivi angeweza kutoa agizo la aina hiyo iwapo katika ukumbi huo ungekuwa unafanyika mkutano wowote wa CCM?
Ni dhahiri kuwa kitendo akichokifanya DED huyo ni uvunjaji wa waziwazi wa Katiba ya nchi yetu, ambayo inaeleza waziwazi kuwa nchi yetu itaendeshwa kwa kidemokrasia na ni ya mfumo wa vyama vingi.
Aliwaambia Kikwete mtamkumbuka mkasema kwenda zako dhaifu kazi yako kucheka cheka tu mtammnukuu Sana wajinga nyie mliomba mkali asiyecheka cheka na asiyewachekea Mungu kamleta Magufuli .Kikwete aliwachekea mkamtukana sasa kaja adiyewachekea
Hivi wapinzani wakiidai kuwa nchi hii inaendeshwa kidikteta, watakuwa wanakosea kweli?
Ngoja nikuulize swali dogo tu wewe kada wa hali Lumumba.Bendera zinatakiwa ziwe mahali kisheria.hixo hazikuwrpo kisheria kwani hawakulipia gharama za matangazo Manispaa Kama Sheria za jjiji lao ambalo liko chini ya chadema zinavyosema.Kuwa kila tangazo litalipiwa jiji
Tumekuwa tukishuhudia wakati wa vikao vya CCM bendera zikitundikwa hata "vyooni" mbona hatujawahi ona maagizo ya aina hiyo ya kuzishusha bendera zao kwa masaa mawili?Kwa sababu Meya wa Ubungo ni Boniface (Chadema) na kama kweli amevunja Sheria na Katiba ya nchi, basi nahakika akirudi ofisini atamchukulia hatua.
Hata hivyo tusahihishe, Bendera zilizoondolewa si zilizoko ukumbini bali zilizotundikwa kwenye hifadhi ya barabara ya Sam Nujoma. Najua ndani ya halmashauri za miji kuna sheria inayosimamia matangazo yanayowekwa ktk barabara zao, ambapo kibali chake kinatolewa kwa malipo katika halmashauri husika. Mheshimiwa Meya Boniface atatutolea ufafanuzi baada ya barua iliyotoa masaa mawili ama wafuate sheria waliitimiza matakwa hayo?
Mkuu naona unataka kutuaminisha kwamba chadema wana wanachama wengi kuliko chama chochote kile...HongeraNiliwahi kusema muda sana na nimekuwa nikisema, jiwe anawaonea wivu cdm kwa jinsi wanavyokubalika na wananchi, na ndio sababu hasa amepiga marufuku vyama vya siasa kufanya kazi za siasa nchi nzima kwani anajua fika cdm wanakubalika, na hilo linamuumiza sana roho yake. Alitamani jinsi cdm inavyokubalika ndio iwe yeye na ccm. Namna pekee ameami kutumia nguvu kubwa na uonevu wa wazi dhidi ya cdm, akidhani akiiua cdm basi automatically watu wataipenda ccm, kitu ambacho hakiwezekani.
Kwani kama unadai fedha ndio unashusha bendera usiku au unakumbusha deni?Halmashauri walilipwa Chao na nyie kalipeni
Ni akili ndogo kuhangaika na bendera zinazopepea kwa kutumia upepo wala sio mafuta,kiongozi makini angehangaika na Wanyonge wanapata shida ya mafuriko kuliko upuuzi wa bendera.Chadema walifikili mlimani city ni ufipa watajuta sana
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona unataka kutuaminisha kwamba chadema wana wanachama wengi kuliko chama chochote kile...Hongera
Wananchi wana imani na Magufuli.... Wenye imani na chadema ni wanachama wao.....Kwa taarifa yako wanachama sio issue sana, cha muhimu ni imani ya wananchi kwa cdm.