Haswaaa, apewe ukuu was mkoa. Kilangila.Besta Mlagila,
Apandishwe cheo haraka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaa, apewe ukuu was mkoa. Kilangila.Besta Mlagila,
Apandishwe cheo haraka sana
Wananchi wana imani na Magufuli.... Wenye imani na chadema ni wanachama wao.....
Wananchi wako huru kuchagua chama chochote.... Hakuna mwananchi aliyeshikiwa mtutu kwamba amchague magu...Wasiwe na imani wafanyiwe ukatili.
Wananchi wako huru kuchagua chama chochote.... Hakuna mwananchi aliyeshikiwa mtutu kwamba amchague magu...
Mkuu hao wananchi walikuwa wakilazimishwa kuichagua CCM?...kivipi...... Unaweza kutuelezea kidogo......Unaongelea uchaguzi wa Tanzania au wa Uswisi? Nimeona kwa macho yangu uhayawani na ukatili wa wazi ili mgombea wa ccm atangazwe mshindi, tena ukatili huo ukiratibiwa na vyombo vya dola. Ushenzi ile wananchi wameuona ndio maana juzi uchaguzi serikali za mitaa wakapuuza kujiandikisha kwenye huo ushenzi.
Mkuu hao wananchi walikuwa wakilazimishwa kuichagua CCM?...kivipi...... Unaweza kutuelezea kidogo......
Kitu ambacho CCM hawakijui ni kuwa hivi vitendo wanavyoendeleza wao kwa msaada wa Jeshi letu la Polisi, ndivyo vinavyoongeza chuki dhidi ya CCMKuondoa bendela ni muendelezo wa chuki wa vyama vingi,mambo madogo haya ya kushusha bendela ni kiashiria cha kufuta upinzani na kuimarisha mfumo wa chama kimoja
Madhara yapo, tena makubwa tu.
Atafutwa kazi kama CAGMSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA ALITAKIWA ALISEMEE HILI.
Hilo ni eneo la kibiashara lisigeuzwe la kisiasa
Watu kutoka mataifa mbali mbali wanafika pale
Je itajenga picha gani kwa Nchi yetu?
Tuache siasa
Zinawachochea wananchi kuiasi CCM na kuifuata Chadema.
Kwa hiyo wakiziona wana pungukiwa na nini? Si kila kitu uachangie pamoja na kulipwa 7000 pa day kama posho ya kutetea chama tawalaHilo ni eneo la kibiashara lisigeuzwe la kisiasa
Watu kutoka mataifa mbali mbali wanafika pale
Je itajenga picha gani kwa Nchi yetu?
Tuache siasa
Sio wanakuaminisha ni ukweli, daftali linasoma zaidi ya 10m, kuna chama gani kingine? Hao mburura ni 2m na fujo zote hizo! Sema vyombo vya dola ndio nguzo tuu!Mkuu naona unataka kutuaminisha kwamba chadema wana wanachama wengi kuliko chama chochote kile...Hongera