CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

Kuondoa bendela ni muendelezo wa chuki wa vyama vingi,mambo madogo haya ya kushusha bendela ni kiashiria cha kufuta upinzani na kuimarisha mfumo wa chama kimoja
 
Wallah hawakawii kutuambia ndizo zimeleta mvua ya uharibifu mkubwa dsm jana, chezea ccm weye!
 
Wananchi wako huru kuchagua chama chochote.... Hakuna mwananchi aliyeshikiwa mtutu kwamba amchague magu...

Unaongelea uchaguzi wa Tanzania au wa Uswisi? Nimeona kwa macho yangu uhayawani na ukatili wa wazi ili mgombea wa ccm atangazwe mshindi, tena ukatili huo ukiratibiwa na vyombo vya dola. Ushenzi ile wananchi wameuona ndio maana juzi uchaguzi serikali za mitaa wakapuuza kujiandikisha kwenye huo ushenzi.
 
Mbona za CCM Bado zipo kwenye mabarabara huko Mwanza.........
 
Awamu ya uwoga, hata bendera -- yaangu kitambaa kinakupa shida kikipeperuka aisee!!
 
Unaongelea uchaguzi wa Tanzania au wa Uswisi? Nimeona kwa macho yangu uhayawani na ukatili wa wazi ili mgombea wa ccm atangazwe mshindi, tena ukatili huo ukiratibiwa na vyombo vya dola. Ushenzi ile wananchi wameuona ndio maana juzi uchaguzi serikali za mitaa wakapuuza kujiandikisha kwenye huo ushenzi.
Mkuu hao wananchi walikuwa wakilazimishwa kuichagua CCM?...kivipi...... Unaweza kutuelezea kidogo......
 
Mkuu hao wananchi walikuwa wakilazimishwa kuichagua CCM?...kivipi...... Unaweza kutuelezea kidogo......

Chama gani chenye maamuzi juu ya vyombo vya dola? Nilichosema sijabahatisha kwani huo uhayawani ulifanyika kote nchini kwenye chaguzi za marudio.
 
Kuondoa bendela ni muendelezo wa chuki wa vyama vingi,mambo madogo haya ya kushusha bendela ni kiashiria cha kufuta upinzani na kuimarisha mfumo wa chama kimoja
Kitu ambacho CCM hawakijui ni kuwa hivi vitendo wanavyoendeleza wao kwa msaada wa Jeshi letu la Polisi, ndivyo vinavyoongeza chuki dhidi ya CCM
 
Sikuwai kushuhudia CHADEMA nyepesi,regevu,mdebwedo,rojo rojo kama CHADEMA ya awamu hii..
Yaani mnakwama wapi? Mnashindwa kulinda haki na mali zenu,Uhuru na Utu wenu.Kushusha bendera za CHADEMA na watu ambao si wanachama tasfiri ni kua chama hicho si halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zina madhara gani kwa Taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara yapo, tena makubwa tu.

Madhara yake ni kwamba, njia ya kwenda chooni ya huyu DED itaota miiba.
Jiwe si mchezo ati. Akiiona hiyo bendera yenye vidole viwili huwa anasikia tumbo kuchafuka, kichefuchefu, na homa za mara kwa mara.
Kwa hiyo kwa usalama wa Jiwe hata mimi napendekeza hizo bendera za chama ziondolewe haraka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona unataka kutuaminisha kwamba chadema wana wanachama wengi kuliko chama chochote kile...Hongera
Sio wanakuaminisha ni ukweli, daftali linasoma zaidi ya 10m, kuna chama gani kingine? Hao mburura ni 2m na fujo zote hizo! Sema vyombo vya dola ndio nguzo tuu!
 
Back
Top Bottom